💥#AnzaBiashara2021; Jinsi ya kupata wazo bora la biashara.

Wazo la biashara ni msingi muhimu. Wengi hupuuz umuhimu wake na kuingia kwenye biashara kwa kuiga biashara za wengine wanazoona zinafanya vizuri kwa nje.
Ila wanapoingia ndiyo wanakuta mambo ni tofauti, biashara inakuwa siyo rahisi na ushindani ni mkali sana.
Kama unataka kuwa na biashara itakayofanikiwa na usiyoyumbishwa na ushindani basi unapaswa kuhakikisha wazo ni sahihi.
Kwenye kitabu cha ELIMU YA MSINGI YA BIASHARA unajifunza mchakato wa kuja na wazo bora na la kipekee la biashara ambalo litakupa mafanikio. Na hata kama umeshaanza biashara, utaweza kuliboresha wazo unalofanyia kazi sasa, liwe la kipekee na liondokane na ushindani.
Jipatie nakala yako ya kitabu leo ili uweze kuanzisha na kukuza biashara yako.
Wasiliana na 0752 977 170 kupata kitabu.