Ni wateja ambao tayari walishanunua kwenye biashara yako na kuridhika na kile walichokipata.

Ukishakuwa na wateja wa aina hii basi biashara yako ina hazina kubwa.

Ni wateja ambao ni rahisi kuwashawishi wanunue tena, lakini pia ni wateja ambao wanaweza kuweta wateja wengine.

Kila siku pambana kujenga hazina hii kwenye biashara yako na itaweza kukua zaidi na zaidi.

Ukurasa wa kusoma ni wateja bora wa biashara yako; http://www.kisimachamaarifa.co.tz/2021/07/06/2379

#NidhamuUadilifuKujituma #AfyaUtajiriHekima #KaziUpendoHuduma