
Watu wengi wana roho nzuri na watakuonesha roho hiyo unapowafanya wajisikie salama.
Ni ngumu kuwafanya watu wajisikie vizuri kama huna mbinu za kufanya hivyo.
HAKUNA eneo ambalo watu wengi hawana maarifa kama la mahusiano. Wengi ni kama vile wanakabiziwa gari ambalo hawajui hata kuliendesha.
Natumaini utakua unajua nini kitatokea pale mtu ambaye hajui kuendesha gari halafu akikabidhiwa ufunguo wa gari aendeshe gari.
Kwa kulijua hilo nimekuandalia silaha 2 za mahusiano ambazo zitakusaidia kuboresha mahusiano yako lakini pia kujenga ushawishi katika mahusiano.

Vitabu hivyo ni ;
Ijue Njaa Ya Wanandoa, hapa unapata elimu ya msingi ya mahusiano itakayokusaidia kuboresha mahusiano yako kiujumla.
Kuna makosa mengi katika maisha ya ndoa yanayowafanya watu kuvumilia maisha ya ndoa na siyo kufurahia maisha ya ndoa.
Kwenye kitabu cha Ijue Njaa Ya Wanandoa unakwenda kupata elimu ya kukusaidia kufurahia maisha ya ndoa badala ya kuvumilia.
Kwenye kitabu cha Kwanini Msamaha Why Forgiveness unakwenda kupata maarifa sahihi juu ya msamaha. Watu wengi wanamajeraha ya nafsi, wana uchungu uliombika ndani ya moyo hivyo kupitia msamaha wa kweli unakwenda kuondoa uchungu wote uliombika ndani ya moyo.
HAKUNA nyumba iliyoandikwa bango kubwa mlangoni kwamba HAPA HAKUNA MATATIZO.
Kila nyumba ina matatizo yake, hivyo basi vitabu hivi viwili vinakwenda kukusaidia kufurahia maisha yako na siyo kuteseka.
Huwezi kuyatenganisha maisha na mahusiano. Mahusiano ndiyo maisha yetu ya kila siku kwa sababu sisi wote tunahusiana kadiri ya vina saba yaani DNA.
Hatua ya kuchukua leo;
Fanya maamuzi ya kununua vitabu hivi viwili kama zawadi yako binafsi ya mwaka mpya.
Ukiwa Dar au Arusha utaletewa vitabu hivyo hapo ulipo.
Karibu sana upate nakala ya vitabu hivi viwili kwa bei ya ofa ya shilingi elfu 25 vyote viwili badala ya elfu 30.
Tuma malipo yako sasa kwenda 0717101505 au 0767101504
MUHIMU;
Kama bado hujajiunga na kundi la wasapu la Mimi ni Mshindi jiunge leo kwani kuna maarifa mengi unayakosa ambayo sikushirikishi hapa.
Kujua ni maarifa gani hayo na jinsi ya kujiunga nitumie ujumbe wasapu kwa namba 0717101505. Kupata vitabu vizuri vya kujisomea kwa lugha ya kiswahili wasiliana kwamba namba 0717101505.
Rafiki Na Mwalimu Wako, Afisa Mhamasishaji Mkuu (CIO)Chief Inspiration Officer.
Mwl. Deogratius Kessy
0717101505//0767101504
https://kessydeo.home.blog