
*2023; Hii Hapa Siri Kuu Ya Mafanikio*
Rafiki Yangu Mpendwa,
*Siri Kuu Ya Mafanikio Ni Kuwa Tayari Pale Fursa Inapokuja.- Benjamin Disraeli.*
Wengine huita kuwa na bahati, lakini kwa uhalisia, bahati ni pale maandalizi yanapokutana na fursa.
Hakikisha mara zote una maandalizi ya kutosha kwenye lile eneo unalofanyia kazi au biashara,
… na pale fursa zinapokuja na kukukuta una maandalizi, wengine watasema una bahati.
Wasichojua ni kwamba ulikazana kujiandaa kabla.
By the way, kama unataka kuongeza kipato chako mara 4 zaidi mwaka huu,
…nakushauri uanze kujiandaa mapema kwa kusoma vitabu hivi vitatu (3),
*Elimu Ya Msingi Ya Fedha , Elimu Ya Msingi Ya Biashara na Chuo Cha Mauzo*.
Kupata Zana hizi Sasahivi Ni rahisi sana, piga simu *0752977170*.
Kisha Utaletewa Kama Upo Hapa Dar es salaam Na Kama Upo Mkoani Usiwe Na Wasiwasi Utatumiwa.
Karibu Sana Tukuhudumie.
*wa.me/255752977170*
Kutoka Kwa Rafiki Yako Anayekujali Sana,
Bwana Amiri Ramadhani |CopywriterOfSomaVitabuTanzania||MjasiriamaliMjanja|