
Kaka/Dada…
Wacha nikukumbushe ukweli mchungu…
Wateja hawakusahau kwa sababu hawakupendi.
Walikusahau kwa sababu wewe mwenyewe uliwasahau!
Uliwahi mtumia ofa mara moja, ukapotea.
Uliwahi mtumia bidhaa nzuri sana halafu ukaingia mitini.
Haujawahi hata kumkumbusha kuhusu bidhaa mpya au punguzo.
Halafu unalalamika:
*Wateja siku hizi wamekuwa wagumu…*
Sio wagumu kaka ni wewe tu umelegea kimawasiliano.
Ukiendelea Kusahau Kuwa Kumbusha, Utaendelea Kupoteza Biashara Kwa Mikono Yako Mwenyewe.
Wakati unashindana kwenye bei, wengine wanatumia mfumo wa kumbusha SMS.
Wanakumbusha:
Habari! Leo tuna punguzo la 30% kwa wateja wetu wa zamani.
“Ulikuwa hujakamilisha oda yako? Tunakupatia nafasi leo.*
Bidhaa ile uliyoulizia, imerudi. Tukuhifadhie moja?*
Sasa fikiria… kati ya wewe unayenyamaza kimya, na mwenzako anayekumbusha nani atauza?
Jibu unalo.
Ngoja Nikufundishe Siri Ambayo Wafanyabiashara Wakubwa Wanatumia Na Wewe Unaweza Kuiiga Leo.
Biashara kubwa hazitegemei kumbukumbu tu ya kichwani.
Zinatumia mfumo,
Mfumo wa kumbuka SMS.
Hii kitu ni simple,
Unaweka tu namba za wateja, unapangilia ujumbe, na mfumo wenyewe unawatupia SMS bila wewe kusumbuka.
Huwezi kusahau tena.
Huwezi kupoteza wateja kwa sababu ya ukimya.
Na kila siku, unawakumbusha kwa heshima bila kulazimisha.
Na ukitaka kujua ukweli:
Mauzo hayaji kwa kubahatisha yanakuja kwa kukumbusha.
Suluhisho Lipo.
Na Ni Rahisi Kuliko Unavyofikiri.
Mfumo wetu wa Kumbuka SMS umeundwa kwa watu kama wewe
Unayetaka kuuza bila kulilia.
Unayetaka kuwaheshimu wateja, bila kuwa kero.
Unayetaka kutumia dakika 3 kupanga ujumbe, halafu mfumo unafanyia kazi masaa 24.
Unapojua bidhaa zako ni nzuri kazi yako ni kukumbusha tu kwa staha.
Na tunakupa support kila hatua, hata kama hujawahi kutumia teknolojia ya aina hii.
Wewe tulia, mfumo ukufanyie kazi.
Nataka Nikusimulie Mshikaji Wangu Alivyogeuza Mambo Kwa Kumbuka SMS….
Alikuwa na duka la nguo pale mjini.
Anapata wateja lakini wanapotea fasta.
Nilimwambia, boss, acha nikuwekee mfumo wa kumbusha SMS…
Wiki ya kwanza, akawakumbusha wateja 53 waliowahi kununua.
Majibu 27 yakarudi.
13 wakarudi dukani na kununua.
Faida aliyopata – ilizidi gharama ya mwezi mzima wa mfumo!
Leo ananiambia:
“Bila kumbusha SMS, biashara yangu ilikua kama gari bila taa usiku. Leo naona njia mbele yangu!”
Na Wewe Leo Una Nafasi Ya Kuwa Kama Yeye.
Acha biashara yako isiwe ya kubahatisha.
Acha kusubiri wateja wakumbuke wenyewe.
Kumbusha kwa akili.
Kumbusha kwa staha.
Kumbusha kwa mfumo.
Kujua zaidi kuhusu mfumo wa KUMBUKA SMS,
Ni rahisi sana, Bonyeza hapa 👇
https://wa.link/n65ksb
Uone nguvu ya Mfumo wa Kumbuka SMS.
Kumbukumbu ni ya binadamu, lakini mauzo ni ya wanaokumbusha.
Na wewe unastahili kuwa mmoja wao.
Karibu.
0756694090.
Imeandikwa Na Mkufunzi Ramadhan.