
Rafiki Yangu,
Wafanyakazi sio suluhisho la kwanza la biashara inayokwama.
Mfumo ndio suluhisho.
Kwa sababu ukiajiri watu bila mfumo.
Watauliza kila kitu kwako.
Makosa yataongezeka.
Na wewe utaendelea kuwa mtu wa kila kitu kwenye biashara yako.
Biashara inayokua haijengwi kwa kuongeza watu pekee…
Inajengwa kwa kuweka mfumo unaowawezesha watu kufanya kazi kwa usahihi hata bila wewe kusimamia kila hatua.
Jifunze jinsi ya kujenga:
Mfumo wa mauzo, Mfumo wa uendeshaji, Mfumo wa fedha, Mfumo wa kukuza biashara
Anyway, PACKAGE YA BIASHARA inakupa maarifa ya kuanzisha, kukuza na kujenga biashara yenye msingi imara.
Usiajiri watu wa kuziba mapengo.
Jenga mfumo wa kuwafanya washinde.
Pata PACKAGE YA BIASHARA leo.
Ni hapa
https://wa.link/289wdg
Karibu.
0756694090