Rafiki Yangu,

Unaamka mapema, unafanya kazi hadi usiku, unashughulikia kila tatizo, lakini biashara yako bado haijafika unapotaka.

Huenda unahitaji zaidi ya kufanya kazi kwa bidii.

Unahitaji mikakati, mifumo na timu inayoweza kusaidia biashara yako kukua.

AMKA CONSULTANT inakusaidia kuchunguza biashara yako, kubaini maeneo ya kuboresha na kuimarisha mchakato wa mauzo.

Lengo ni kujenga biashara inayopiga hatua kwa mfumo unaoeleweka, badala ya kutegemea juhudi zako pekee.

Kujua zaidi kuhusu huduma hii anzia hapa
https://wa.link/w23noh

Karibu.
0756694090.