
Rafiki Yangu,
Ukiulizwa, Una mkakati gani wa kupata wateja wapya kila wiki?
Je, utajibu kwa uhakika au utasema unasubiri wateja wajitokeze?
Kutegemea wateja wanaopita bila mpango maalumu kunaweza kuifanya biashara yako ikose mwelekeo wa ukuaji.
AMKA CONSULTANT tunakusaidia kuchunguza mikakati yako ya kutafuta wateja, kuboresha mchakato wa mauzo na kuweka utaratibu wa kufuatilia fursa.
Usiache ukuaji wa biashara yako utegemee bahati. Jenga mkakati unaoweza kufuatiliwa na kuboreshwa.
Kupata package hii anzia hapa
https://wa.link/w23noh
Karibu.
0756694090