AMKA MTANZANIA

Chukua Hatua Juu ya Maisha Yako.

NGUVU YA BUKU.

Jifunze Jinsi Ya Kuokoa, Kuzalisha na Kuwekeza BUKU Ili Kujenga Utajiri Na Uhuru Wa Kifedha Siku Zote.

Rafiki Yangu,

Habari!

Je Wewe Ni Huyu?

Unapenda kuwa na fedha za kutosha kwa ajili ya chakula, malazi, na mahitaji ya kila siku bila hofu ya kutomaliza pesa kabla ya mwezi kuisha.

Na unapenda kuondokana na mzigo wa madeni, hasa madeni ya kila siku na riba kubwa.

Lakini pia unapenda kufikia uhuru wa kifedha bila kushindwa na madeni.

Hata Hivyo unapenda kuwa na akiba itakayokusaidia katika matatizo ya ghafla kama vile magonjwa au hali nyingine zisizotarajiwa.

Na pia unapenda kuongeza kipato chako ili Uweze kuboresha hali yako ya maisha na kutimiza malengo makubwa zaidi.

Ni Yule unayependa kuwekeza katika elimu au maisha ya watoto wako ili wasirudie changamoto ulizowahi kukutana nazo.

Lakini pia unapenda kuishi maisha yasiyo na shinikizo la kifedha, ambapo unaweza kufurahia na kufikia malengo binafsi.

Kama Hivi Ndivyo,

Basi meseji hii Itakuamsha na ninauhakika hujawahi kukutana nayo hapo kabla kwenye maisha yako.

Kwasababu….

Unaelekea kugundua Mbinu Mpya ambazo ni za Kipekee Ambazo Zitakufanya na Kukusaidia Uokoe, Uzalishe na Uwekeze BUKU Ili Ujenge Utajiri na Ufikie Uhuru Wa Kifedha Mapema,

Haijalishi unaingiza kipato kidogo kiasi gani kwa Siku, kwa wiki au Kwa Mwezi.

Haijalishi Upo kijjini au Mjini,

Haijalishi Wewe ni Kabila gani,

Haijalishi kiwango Chako cha ELIMU,

Haijalishi una umri Gani Kwasasa,

Utazipenda Mbinu hizi kwasababu hazibagui umri, ELIMU , dini Kabila, Wala Jinsia,.

Zinafanya Kazi vizuri Sana,

Na zimethibitishwa na Benki Kuu ya Tanzania (BOT)

Kwa Majina Naitwa Kocha Dr Makirita Amani, ni mwelimishaji fedha aliyethibitishwa na Benki Kuu Ya Tanzania (Certified Financial Educator-CFE)

Najua ni Kwa jinsi Gani umaskini unakukosesha usingizi kwasababu mimi mwenyewe nilipitia Msoto kama wako.

Nina uhakika kama ilivyokuwa kwangu hata Wewe pia umejaribu njia mbalimbali za kujinasuae kutoka Kwenye limbi la umaskini,

… ili kujenga utajiri Lakini umeishia kupoteza muda na PESA kwenye njia ambazo hazifanyi Kazi.

Na ukweli ni Kwamba kila Mtu anauchukia Umaskini,

Hakuna Anayependa kuwa MASKINI,

Hata wewe hapo sindio?

Kwasababu Umaskni Unauma, ukiwa maskini unadharaulika, unatengwa utachekwa na hutaaminika kabisa,

Ni kama ile kauli ya wahenga inayosema kwamba maskini siku zote HAAMINIKI na HATHAMINIKI HATA AFANYE JEMA KIASI GANI,

Unakuwa hauna uhakika na kesho Yake,

Mbaya zaidi ni kwamba Maskini huwa hana uhakika na hajui kesho atakula nini,

Nikiwa kama Mtanzania mwezako naelewa ni kwa jinsi gani umaskini unavyokufanya ujione dhaifu na usiyejiamini.

Lakini mwisho wa mahangaiko yako yamefika tamati na Ndani ya sekunde 60 Zijazo utaona ni kwa jinsi gani unaenda kutumia BUKU Kujenga Utajiri kwa kuanzia Hapo Ulipo Sasa.

Sasa Ngoja Nikupe stori yangu ambayo ni Muhimu uijue.

Stori yenyewe ni hii hapa:

Bado nakumbuka Miaka 10 iliyopita nikiwa Namaanisha Kuanzia Mwaka 2013-2024,

Mimi Binafsi niliajiriwa kama mwalimu na Baadaye Daktari,

Tangu nikiwa mdogo Nilikuwa nina ndoto ya kufikia Utajiri,na uhuru wa Kifedha,

Na nilikuwa nauchukia umaskini,

Kwasababu nimetokea familia ya kimaskini,

Na naelewa Jinsi umaskini unavyouma,

Unakuwa huna uhakika kesho utakula nini,

Kiukweli sikuridhishwa Kabisa na Maisha tuliyokuwa tunayaishi pale kijijini.

Unabaki unaumia TU, hujui nini cha kufanya .

Na ukizingatia nilikuwa bado mdogo nasoma,

Na Kila nikiangalia wanakijiji wenzetu ni kama wamesharizika na umaskini wao,

Baadae Baada ya kufaulu kidato Cha Sita,

Kwa Ufaulu Wa Juu Division 1 Kwa Kupata A 3,

Physics A

CHEMISTRY A

BIOLOGY A

Nakupangiwa CHUO KIKUU Cha MUHIMBILI Hapa Dar es salaam,

Nikawa na matumaini kwamba safari yangu ya kuuaga umaskini imewadia,

Ni kweli nikapambana Lakini baadae nikaja nikasimamishwa chuo kwa muda usiojulikana

Mimi na wenzangu.

Hii ilikuwa ni mwaka wa kwanza tu,

Hakika hii safari iliingia mkosi,

Kidogo nikate tamaa,

Lakini kila nikiangalia kijiji nilichotoka roho inazidi kuniuma na machozi yakinitoka,

Aisee nikaamua nikomae Hapa Hapa Dar es salaam na sirudi kijijini,

Mungu Siyo Athumani Bana nikapata Nafasi ya kuajiriwa kwa muda Kwenye Shule kama mwalimu,

Nikafundisha,

Na baadae tukaja kurudishwa CHUO Kuendelea na Masomo Yangu ya UDAKTARI,

Nikafanikiwa Kumaliza na kufaulu Kwa maksi za Juu Sana na Kupewa  Zawadi na Cheti Cha BEST STUDENT,

Na Waziri Mkuu Wa Kipindi Kile Mheshimiwa Mizengo Kayanza  Peter Pinda,

Baada ya Kumaliza CHUO nikaajiriwa kama Daktari nikaja pia kujiajiri kama mwandishi na Kocha na Kufanya Kila Kitu pekee Yangu Kuanzia kuandika, Kutafuta wateja, Kuuza na kuwafuatilia,

Lakini kilichonisaidia kutoka kwenye umaskini ni TABIA Yangu ya Kuweka Akiba na Kuwekeza tangu nimeanza kuingiza Kipato,

Nimekuwa naweka Akiba na kujizuia nisitumie akiba niliyoweka.

Kwani Uwekezaji Wa akiba umenipa mafanikio makubwa yakiwepo Kuweza Kukuza biashara, Kununua magari binafsi na Kujenga Nyumba Binafsi Bila ya Kuchukua mikopo.

Na Uwekezaji nilianza kuujua uwekezaji na Kuanza na Kuwekeza WA mifuko ya Pamoja Kupitia UTT AMIS JANUARY MWAKA 2013.

Mara moja nilichukua Hatua ya kufanya uwekezaji kidogo kidogo kwa msimamo bila kuacha.

Lakini Mwaka 2014 niliandika makala ya Kuwashawishi watu kutenga elfu 1 (BUKU) kila siku Kwa ajili ya kuwekeza na mwisho wa mwezi kuwekeza.

Nilishauri Mtu afsnye Hivyo kwa Miaka 10 bila kuacha na atapata Faida kubwa.

Wengi walinibeza na Kusema nilichoandika ni nadharia na hakiwezekani Kwenye uhalisia.

Mimi nilifanya na Miaka 10 Baadaye, yaani Mwaka 2024 , nikawa na uwekezaji Mkubwa kuliko wale waliobeza na kupuuza.

Na kingine ni kwamba nimekuwa na udhibiti mkubwa sana kitu ambacho kimenisaidia kuweka akiba na Kuwekeza.

Na nimewahi Kuwa na Deni Binafsi  Moja  TU Ambalo ni la ELIMU ya Juu.

Rafiki,

Nimeweza Yote hayo siyo kwasababu ya kujisifia au kuonyesha kwamba mimi ni bora Kuliko wengine,

…bali Kukuonyesha Kwa ushahidi kwamba haya Mambo unayokwenda kujifunza sekunde 59.9 Zijazo yanafanya Kazi vizuri Sana,

Ukiyafanyia kazi,

Pengine unatamani Kujua ni Mbinu Gani nilizozitumia zilizoweza kunitoa Kwenye limbi la umaskini Kwa Haraka Sana na Kuzifanya nisirudi Kwenye umaskini Tena…

Usiwe na Wasiwasi Ndani ya Dakika 1 Ijayo Utajua mbinu Zote nilizozitumia Kufikia Hapa Lakini Kwanza unatakiwa Ujue Kwamba….

Ni mbinu zilizothibitishwa na taasisi kubwa duniani,

Na ndio maana nimeamua kukukuwekea hapa tafiti zote zilizofanywa,

Ili uelewe kwa kina jinsi zinavyofanya kazi kwa ufanisi wa 100%,

Na sio porojo kama za wengine,

Haya Hizi Hapa 5 Ziangalie hapa chini……..

Tafiti Zilizofaywa na Benki ya Dunia inakadiria kuwa asilimia 70 ya watu wenye kipato cha chini hawana akaunti ya benki, jambo linalowazuia kuokoa na kuwekeza.

Watu wenye kipato cha chini mara nyingi hukumbana na changamoto za kifedha kutokana na maamuzi ya kifedha yasiyo sahihi,

…ambayo mara nyingi yanachangiwa na vikwazo vya kisaikolojia kama vile kupenda kupata Raha ya mda mfupi(“instant gratification”)

… badala ya kuwekeza kwa faida ya muda mrefu.

Nguvu Ya Buku inazingatia jinsi gani mtu anaweza kuvunja mzunguko huu na kuanza kuokoa kwa kiwango kidogo (“Buku”)

Kama msingi wa kujenga utajiri mkubwa zaidi kwa muda..

Na Shirika la Fedha Duniani (IMF).

Nalo linaonyesha kuwa watu wa kipato cha chini mara nyingi hutumia zaidi ya 60%

… ya mapato yao kwenye mahitaji ya kimsingi kama chakula, malazi, na usafiri, huku wakisalia na kidogo kwa akiba au uwekezaji.

Na mbinu zinazotokana na sayansi ya tabia ya kubadilika ili kuwawezesha watu kubadilisha mtazamo wao kuhusu pesa.

Kuokoa kiasi kidogo kama Buku kila siku ni hatua ndogo na inayoonekana kuwa rahisi, jambo linalosaidia kuimarisha tabia ya kuokoa na kutengeneza mchakato wa kifedha unaoendelea.

Mchakato huu unamwezesha mtu kujenga nidhamu na kuendelea kuwekeza zaidi kwa muda mrefu.

Tafiti za Behavior Economics zinaonyesha kuwa zaidi ya 70% ya watu wenye kipato cha chini huamini kuwa hawawezi kuokoa au kuwekeza kwa sababu ya mapato madogo,

Lakini kwa kuanza kuokoa kiasi kidogo, wanaweza kubadilisha maisha yao.

Watu wenye kipato cha chini mara nyingi hukosa rasilimali za kifedha za kuwawezesha kuwekeza na kuokoa,

 Lakini hata kwa kidogo ulicho nacho unaweza kuanza safari ya kuelekea kwenye uhuru wa kifedha.

Ujumbe huu unaleta matumaini na unaonyesha kuwa uwezo wa kupata uhuru wa kifedha hauko mbali, hata kwa watu wenye kipato kidogo.

Tafiti za Microfinance zinaonyesha kuwa watu wanaoanza kuokoa kidogo kama $1 kwa siku wana uwezekano wa mara tatu zaidi wa kufanikisha malengo yao ya kifedha kwa muda wa miaka mitano ikilinganishwa na wale wasio na mpango wa kuokoa.

Kujenga utajiri endelevu kunahitaji hatua ndogo ndogo zinazozalisha matokeo makubwa kwa muda.

Nguvu Ya Buku inatumia mbinu zinazolenga kuendeleza nidhamu ya kifedha na uwekezaji wa mara kwa mara,

Unaolenga kuleta matokeo ya muda mrefu.

Kanuni hii inawafanya watu kuwa na uelewa kuwa hata na akiba kidogo, mtu anaweza kujenga rasilimali kubwa zaidi.

Tafiti za Psychology of Saving Zinaonyesha kuwa watu wanaoanza kuokoa kiasi kidogo kila siku au kila wiki, kama vile ‘Buku,’

..hujenga tabia ya kuokoa na kuwekeza, na baada ya miezi 6 hadi 12, asilimia 60 yao huendelea kuokoa kwa kiwango kikubwa zaidi.

Watu wenye kipato cha chini mara nyingi huwa na matarajio ya kuboresha maisha yao lakini hukosa njia na motisha sahihi.

Kitabu kinawapa tumaini na mbinu halisi zinazoweza kuwasaidia,

…kikiwa na lengo la kuwapa msukumo na hamasa ya kujitolea kidogo kwa malengo ya baadaye.

Angalia Sasa Jinsi Unavyoweza Kuokoa, Kuzalisha na Kuwekeza Elfu 1 (BUKU)

Kama Ukiweza Kuelewa Jinsi ya Kuiokoa BUKU, ukaizalisha BUKU na ukaiwekeza

Basi utaweza Kujenga utajiri na uhuru wa kifedha,

Kwa 100%.

Ndani ya Miaka 5 Mpaka 10 TU!

Na Sio 50 Tena,

Kama Wengi wanavyofanya kwa kubahatisha.

Wewe usiwe mmoja wao,

Wewe fanya kwa kwa kufuata mwongozo unaokupa uhakika Wa 100%.

Baada ya kufanya tafiti Nyingi za sayansi ya Fedha,

Nimekuja kukuwekea mbinu zote Zitakazokusaidia Kuokoa buku kila siku,

Mbinu Zitakazokusaidia Kuzalisha BUKU kila siku,

Na Mbinu Zote Zitakazokusaidia Kuwekeza BUKU ulizoziokoa na Kuzizalisha,

Ina Maana Utaweza Kujenga utajiri na uhuru WA kifedha,

Kwenye Kitabu Hiki Kipya Kinachoitwa NGUVU ya BUKU,

Jumla Kina Mbinu 300,

Utapata Mbinu 100 Za Kuokoa Buku Kila Siku,

Mbinu 100 Za Kupata BUKU Kila Siku,

Mbinu 100 Za Kuwekeza BUKU.

Kiufupi Baada ya Kusoma Kitabu Hiki Kipya Cha NGUVU YA BUKU,

Basi….

Utakuwa umepata mbinu rahisi na zinazotekelezeka za kuanza kuokoa hata kiasi kidogo cha fedha kama ilivyo Buku.

Hii itakufanya kuwa na uhakika wa kuanza safari ya kifedha bila kusubiri mapato makubwa.

Na baada ya kusoma kitabu Hiki utaona umuhimu wa nidhamu ya kifedha kupitia hatua ndogo za kuokoa na kuwekeza.

Hii itakusaidia kupunguza matumizi yasiyo ya lazima na kuimarisha nidhamu ya kifedha.

Ni Mara baada ya kusoma kitabu hiki, utapata mbinu za kudhibiti matumizi yako kwa urahisi, hivyo utaweza kutenga sehemu ya mapato yako kwa ajili ya akiba na uwekezaji.

Kwa kufuata hatua zilizopendekezwa kwenye kitabu, Utaanza kuona maendeleo madogo lakini ya dhahiri katika hali yako ya kifedha ndani ya muda mfupi, kama vile kuwa na akiba ya dharura au kuwekeza kwa mara ya kwanza.

Utapata ujasiri wa kifedha kutokana na maarifa mapya kuhusu jinsi ya kuzalisha na kuwekeza kipato chako hata kama ni kidogo.

Ujasiri huu utakusaidia kushughulikia changamoto za kifedha kwa uhakika zaidi na kujiamini.

Na Faida zingine Nyingi, nyingi Sana.

Hizo ni baadhi ya Faida chache Za Kusoma Kitabu Hiki Cha NGUVU YA BUKU,

Hata Kama Bado hujaanza kuwekeza na unakipato kidogo Sana,

Lakini Kitabu Hiki Cha NGUVU YA BUKU Lazima Kikustaajabishe Kwa Mbinu Zake 300 Zitakazokutajirisha na Kukufikisha Kwenye Uhuru Wa Kifedha.

Hawa ni baadhi ya walioweza Kushiriki program ya NGUVU ya BUKU kikamilifu Mwaka Huu 2024.

Na Kuwekeza Kila Wiki na Wengine Kila Siku.

Mpaka sasa nadhani utakuwa upo tayari kuanza kusoma kitabu hiki Cha NGUVU YA BUKU,

Ili na Wewe Uanze Kuwa mwekezaji wa Kitanzania,

Kwasababu nikitabu cha Kipekee ambacho kimetokea kwenye program ya NGUVU YA BUKU,

Kimefanyiwa tafiti Za kisayansi ya Fedha na saikolojia ya Fedha,

Na Kuja na mbinu 300 zitakazo kusaidia Kuokoa , Kuzalisha na Kuwekeza BUKU Ili Kujenga Utajiri na uhuru WA kifedha.

Matumizi ya Kitabu Hiki Kipya Cha NGUVU YA BUKU ,

Kwenye Kitabu Hiki Unapata Mbinu 300

Ni Kitabu Chenye Kurasa 242,

Ambacho Unaweza Kukisoma Kwa Siku 12 TU!

Yaani Kama …….

Asubuhi utasoma Mbinu 10,

Mchana Mbinu 5,

Na Usiku Mbinu 10.

Kwahiyo ukifanya Hivi Kwa siku Utaweza Kusoma Kurasa 25 TU!

Hata Hivyo,

Mabadiliko utaanza kuyaona Ndani ya Masaa 48 Tu Baada ya kusoma na Kufanya kazi Mbinu ulizo jifunza kwenye siku husika.

Inagharimu Kiasi Gani Kupata Kitabu Hiki?

Ukilinganisha bei ya Kitabu hiki Cha NGUVU YA BUKU na Vitabu Vingine Vya Fedha na uwekezaji Ambavyo vinatoa Maelezo TU Bila ya kukupa Mbinu na Hatua Za Kuchukua (yaani Ufanye Nini Ili Upate Matokeo).

Hakika Unapendekeza Bei ya Kitabu hiki Cha NGUVU YA BUKU,

Iwe Juu,

Na ukizingatia wateja Wetu Wengi waliopo Kwenye program ya NGUVU ya BUKU Tokea January Wameweza kujijengea TABIA ya Kuwekeza na Kudhibiti Matumizi Yao,

Kwa Ufupi Wameweza kuishi Chini ya Kipato Chao,

Na Wengi Wao Wanasema hata gharama ya Kitabu Cha NGUVU YA BUKU,

Kingekuwa 100,000 wangekinunua,

Fikiria ni Muda Kiasi Gani ungekuwa Tayari kulipa Ili usimamiwe Kuokoa, kuzalisha na Kuwekeza au,

Ni Kiasi Gani Cha Fedha ungekuwa Tayari Kutoa Ili usimamiwe kwa karibu Ambayo Kwa Asilimia 100% unajua Lazima ifanye Kazi?

100,000? 50,000? Au 30,000?

Lakini unajua Nini? Hutalipia PESA Hiyo.

Kwasababu Wewe ni rafiki Yangu ninayekupenda na kukujali,

Kwa Leo Kwenye Ukurasa Huu na hakuna Sehemu Nyingine unaweza kukipata Kitabu Hiki,

…. kwasababu hakipo Kwenye bookshop na Wala Kwenye library Za mkoa.

Kwenye Ukurasa Huu ndio Sehemu pekee ya Kukipata Kitabu Hiki Cha NGUVU YA BUKU,

Kwa Bei Ya 1000 TU Yaani BUKU (Elfu 1 TU)

Kuna Sababu Kwanini Kitabu hiki kinauzwa kwa bei ndogo Sana Hivyo.

Ni Rahisi kuelewa Sababu Hiyo.

Lengo La kuandika Kitabu hiki ni kuwasaidia maskini kujikomboa na Kutoka Kwenye limbi la umaskini,

Endapo Gharama ya Kitabu hiki ingekuwa Juu Maana yake MASKINI Wengi wangeshindwa kumudu Bei.

Hivyo Basi ndio Maana nikaamua Kutoa Punguzo kubwa la bei Ili MASKINI wengi wapate Mbinu sahihi na zilizohakikiwa Kufanya kazi.

Kwa BUKU TU,

Naamini hakuna mtu anayekosa BUKU.

Elfu 1 TU! Leo Unapata SOFT COPY YA KITABU HIKI CHA NGUVU YA BUKU.

Lakini uwezo wako unaruhusu nakushauri uchukue package Nzima ,

Yaani uchukue soft copy , hardcopy na audio

Vyote Kwa Pamoja Kwa Elfu 30 TU!

Lakini kama utataka hardcopy pekee utaipata Kwa Elfu 20 TU!

Na kama utaitaka Audio pekee utaipata Kwa Elfu 10,000 TU!

Alafu Kuna uwezekano Mkubwa nakala tulizobaki nazo Hapa Kwenye kabati letu zikaisha ndani ya wiki 3 Zijazo.

Kwahiyo weka Oda Yako Mapema.

Vitabu vikiisha huwa inachukua wiki 2 Mpaka 3 Kuchapa Vingine .

Kwahiyo unaweza ukuona ni mchakato Ambao Unachukua Siku Nyingi Kiasi,

Kwamba siku hizo zikipita unakuta na Ofa ishaisha.

Hivyo ni vyema Ukachukua Kitabu Chako Sasa hivi.

Na kama utaondoka Kwenye Ukurasa Huu pasipo kuweka Oda Yako Kuna uwezekano Mkubwa pindi utakaporudi, ukakuta Vitabu vimeisha.

Hivyo usitoke Kwenye Huu Ukurasa Bila ya Kuweka Oda Yako Kwasababu uhitaji WA Kitabu Hiki ni Mkubwa Sana,

Kwahiyo Vitabu tulivyonavyo Navyo Kwenye kabati letu vitaisha Muda wowote.

Mpaka Sasa vimebaki 50 TU!

Na ukumbuke Ukurasa Huu ndio sehemu pekee ya Kupata kitabu hiki.

Kitabu hiki hakiuzwi Sehemu nyingine Yoyote tofauti na Hapa Kwenye Ukurasa Huu.

Kama una hofu ya kitabu hiki hakitakusaidia naelewa Kabisa hata Mimi ningekuwa Kwenye Nafasi uliyopo kwa sasa lazima ningekuwa na Wasiwasi Wa kupoteza pesa nilizozipata kwa Shida yaani Kwa jasho na damu,

Lakini Ili kukuondolea wasiwasi Huo Kitabu Hiki Utakipata Kwa dhamana (Guarantee)

Dhamana Hii Iko hivii:

Soma Kitabu Hiki Cha NGUVU YA BUKU, Kwa Siku 12,

Kama Baada ya Siku 12 Itakuwa Bado Hujaweza Kuokoa  , Kupata na Kuwekeza BUKU,

Piga Simu Kwenda Namba 0756694090,

Toa Taarifa utarudishiwa PESA zako Zote bila konyongo Chochote.

Kwanza Kabisa Wewe Mwenyewe utashangazwa na mbinu Hizi 300 ,

UNACHOTAKIWA KUFANYA SASA HIVI NI HIKI:

Kujaza Fomu Ya kuweka Oda ni Rahisi.

Bonyeza Hapa Chini Sehemu iliyoandikwa,

POKEA ODA YANGU.

Baada ya Kubonyeza sehemu hiyo utafungua ukurasa Mpya Wenye fomu.

Jaza fomu hiyo kikamilifu na kisha itume.

Mara Baada ya kupokea fomu yako msaidizi wangu au Mimi mwenyewe nitakupigia Simu kukujulisha kama ODA yako imepokelewa kikamilifu.

KUMBUKA; Kwa Leo Unakipata Kwa Buku Tu (elfu 1 tu)

Ofa Hii Ni Ya Watu 50 Tu Wa Kwanza.

Karibu.