Kitabu; SIRI YA UTAJIRI NA MAFANIKIO

Kitabu SIRI YA UTAJIRI NA MAFANIKIO ni kitabu kinachozungumzia suala zima la mafanikio, malengo pamoja na maendeleo binafsi. Kitabu hiki kimeandikwa katika lugha nzuri inayoeleweka. Kitabu hiki kitakusaidia katika kufanikisha malengo na mipango yako, pia kitakusaidia sana katika safari yako ya mafanikio na uhuru wa kifedha, pamoja na kufanikisha malengo yako kwa muda mfupi sana kuliko ulivyotgemea.

KITABU

Ndani ya kitabu hiki utaweza kufahamu Mikakati (mbinu) mbalimbali ya kufikia mafanikio makubwa katika kila eneo la maisha yako.

1. mipango ya ndani na nje itakayofanya kila kitu unachokifanya wewe kikusogeze karibu na ndoto zako

2. njia bora za usimamizi wa muda wako na jinsi unavyoweza kukamilisha kazi zako muhimu kwa wakati mdogo sana

3. jinsi ya kupanga malengo yako ili uweze kukua na kufikia mafanikio makubwa maishani

4. maelekezo ya Hatua kwa hatua ya jinsi ya kufikia uhuru wa kifedha, na mambo mengine mazuri zaidi

Utakapo kipata kitabu hiki na kuanza kuyatumia yale utakayojifunza kutoka kwenye kitabu hiki utaanza kuona mabadiliko yafuatayo;

1.kufanikisha malengo yako kwa muda mfupi sana

2.kuwa huru kifedha kwa kufahamu jinsi utajiri ulivyojificha mawazoni mwako na pia utafahamu jinsi mawazo ya tajiri na masikini yanavyotofautiana

3.kupata kufahamu wewe binafsi unataka nini maishani mwako ,na jinsi utakavyoweza kukipata.

4. Utaendelea kuhamasika hata kama utakumbana na vikwazo mbalimbali maishani

5. Na mambo mengine mazuri zaidi

Kusoma zaidi jipatie nakala yako sasa kwa mambo mengine mazuri zaidi ambayo yatakusaidia sana katika maisha yako. Kitabu hiki kinapatikana kwa tsh 10,000/= tu. Kupata kitabu hiki tuma pesa yako kwa MPESA (0767382324 ),kisha tuma email yako kwa meseji kwenye namba hiyo ,utatumiwa kitabu

Karibu sana na TUPO PAMOJA

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s