Habari rafiki,

Wapo wasomaji ambao wanapata shida ya kupokea email ninazotuma kila siku.

Hii ni kwa sababu email zao zinapeleka jumbe zinazotumwa kwenye SPAM au JUNK emails.

Kama umekuwa hupati email ninazotuma kila siku, siyo kwamba hazitumi, zinatumwa ila hazifiki sehemu sahihi kwa wewe kuweza kuziona.

Hivyo ili kupokea email zote ninazotuma, chukua hatua hizi;

  1. Ingia kwenye email yako na angalia kwenye SPAM EMAILS, JUNK EMAILS, UPDATES, PROMOTIONS na kadhalika. Angalia huko na kama utakuta email niliyotuma ipo kwenye eneo lolote tofauti, mark as not spam au mark as priority inbox na zitaanza kuingia inbox.
  2. Kama umefuata hatua ya kwanza na hujaziona, nenda kwenye email yako sehemu ya kusearch, kisha andika neno DAKIKA MOJA na usearch, zitakuja email zote za dakika moja. Pia unaweza kuandika email maarifa@kisimachamaarifa.co.tz na kutafuta, email zote zilizotumwa utaziona.email 2email 1
  3. Hatua ya tatu ni muhimu, kama unatumia gmail, nenda kwenye google contacts kisha add au create contact na itakuja sehemu ya kuongeza contact, jina andika MAKIRITA AMANI, email; maarifa@kisimachamaarifa.co.tz na simu andika 0717396253.email 3
  4. Kama umetafuta kwa njia zote lakini bado hujaziona email, basi jiandikishe upya na unapojiandikisha jaza taarifa zako, hasa email kwa usahihi. Fungua hapa kujiandikisha upya; https://amkamtanzania.com/jiunge/

Fuata hatua hizo nne muhimu ili uendelee kuyapata maarifa bora kabisa ninayoshirikisha kila siku kwa ajili ya mafanikio yetu makubwa.

Rafiki na kocha wako,

Dr. Makirita Amani.

www.amkamtanzania.com/kocha