Rafiki yangu mpendwa,

Kwa muda sasa nimekuwa nakueleza kuhusu programu ya GAME CHANGERS ambayo itakuwa na msimu wake wa mwisho kwa mwaka huu 2019 mwezi Septemba.

Kupitia programu hii unakwenda kupata nafasi ya kuweza kuleta mapinduzi makubwa sana kwenye maisha yako, ambayo yatakutoa hapo ulipokwama sasa na kukuwezesha kupiga hatua zaidi.

Programu hii inakupa nguvu kubwa mbili kwa pamoja, ambazo zinakusukuma sana kufanikiwa. Nguvu hizo ni Ukocha ambapo unafanya kazi kwa karibu na kocha na Mastermind ambapo unashirikiana na watu wengine wanaotaka kupiga hatua kama wewe.

mastermind group.jpg

Nguvu hizi mbili zitakuwezesha kupiga hatua kubwa sana ndani ya muda mfupi kuliko ambavyo umewahi kupiga huko nyuma.

Programu hii inaendeshwa kwa siku 30 ambapo kila siku unakwenda kujifunza na kuchukua hatua ambazo zitakuwezesha kutoka pale ulipo sasa na kusonga mbele zaidi.

Nafasi za kushiriki programu hii karibu zinajaa, hivyo leo una nafasi ya mwisho kabisa kwako kuweza kunufaika na programu hii.

Ili kushiriki programu hii, unapaswa kulipa ada ambayo ni tsh laki tatu (300,000/=) ambao ni uwekezaji utakaokuzalishia sana. Thamani unayokwenda kuipata kwa kushiriki programu hii itakuwa ni mara kumi ya ada unayolipa.

Ili kupata nafasi ya kushiriki programu hii kwa msimu huu wa mwisho kwa mwaka 2019, nitumie ujumbe sasa hivi kwa wasap namba 0717396253, ujumbe uwe na maneno NAOMBA NAFASI YA KUSHIRIKI GAME CHANGERS. Nakuambia utume ujumbe huu mapema kwa sababu nafasi ni chache mno na zikishajaa hakuna tena nafasi nyingine. Hivyo anayewahi ndiye anayepewa nafasi.

Nakusubiri kwa hamu na shauku kubwa kwenye programu hii bora sana ambayo nina uhakika, bila ya mashaka yoyote kwamba itakwenda kukusaidia mno. Hauwezi kushiriki programu hii halafu ukabaki hapo ulipo sasa.

Tuma ujumbe sasa, kwa njia ya wasap namba 0717396253 wa kuomba kushiriki GAME CHANGERS na kwa siku 30 tutakwenda kufanya kazi pamoja ya kukuwezesha kutoka hapo ulipokwama sasa na kupiga hatua zaidi.

Wako rafiki katika safari ya kuelekea kwenye mafanikio makubwa,

Kocha Dr Makirita Amani.