Usiseme Kabisa Siri Hii…
Nahitaji Mimi Na Wewe Tuzungumze Kidogo Leo.
Kuhusu Kitu Ulichopaswa Kukifahamu Tangu Miaka 10 Iliyopita.
Changamoto Ni Kwamba Watu Wengi Hawapendi Kukizungumzia ,
Kwa sababu Ni SIRI Ambayo Wanataka Iendelee Kubaki Katika Mizizi Ya Familia Zao.
Ila Kuanzia LEO haitakuwa SIRI tena Kwa sababu ninaitoa Kwako…
Je, Umekua Unauza Sana Lakini FAIDA Huioni…?
Kama umejibu NDIYO.
Basi unatakiwa Kabisa kupata Kitabu Cha Elimu Ya Msingi Ya Biashara SASA HIVI.
Hii ni Kwa sababu kwenye SURA YA SITA ya Kitabu Cha Elimu Ya Msingi Ya Biashara…
- Utapata nafasi ya kujifunza kwa kina kuhusu MZUNGUKO WA FEDHA Kwenye BIASHARA YAKO.
- Ina Maana utaweza kujua FAIDA Na HASARA Kwenye Biashara Yako.
- Utafamu kanuni Muhimu kuhusu MAUZO na FAIDA ina Maana utaweza Kuifahamu FAIDA ya biashara yako kwa haraka sana na itakusaidia uokoe muda wako.
Utaweza kuona Wapi FAIDA ya biashara yako inapopotelea na JINSI YA KUIKOA ina Maana hutopata tena HASARA Kwenye biashara Yako.
Na Mengine mengi Muhimu kuhusu biashara.
Kitabu Hiki Thamani Yake Ni Zaidi ya Tsh 100,000,
Lakini wewe unakipata kwa gharama ndodo na unayoweza kuimudu ya Tsh 20,000 TU!
Kwa uwekezaji huo mdogo utakaoufanya leo, utaweza kuvuna thamani kubwa sana kwenye biashara yako.
Kupata kitabu, wasiliana na namba 0752977170 na utaletewa au kutumiwa ulipo.
Na Kwa kuwa nina uhakika kuwa Kitabu Hiki kitakusaidia nakupa siku 30 za kurudishiwa fedha zako. Yaani ni 100% Money Back Guarantee.
Yani Nunua Kitabu Hiki LEO, kisome kisha kama hakijakusaidia basi nitakurudishia fedha Yako yote (Ina Maana Hauna Cha Kupoteza!)
Na Uzuri Kitabu Hiki utatumiwa POPOTE pale ULIPO Ndani Ya Tanzania.
Kama upo NDANI ya MKOA wa Dar-es-salaam utakipata Kitabu Hiki NDANI YA MASAA 24 TU!
Lakini Kama Upo NJE ya MKOA wa Dar-es-salaam utakipata Kitabu Hiki NDANI YA MASAA 48 TU!
Wasiliana sasa na 0752977170 ili usikose thamani hii kubwa na isiyo na cha kupoteza kwa upande wako.
Kitu Pekee Utakachojutia Mara Baada ya kumaliza kusoma Kitabu Hiki ni Kwamba Kwani hukukisoma MIAKA 10 ILIYOPITA.
Chukua hatua ya kukipata na kukisoma leo, ili kesho usiwe na majuto kwa biashara yako kushindwa kukua.
Dr. Makirita Amani