3151; Tayari tumeshashinda.
Rafiki yangu mpendwa,
Kwenye mchezo wa aina yoyote ile, kushinda au kushindwa huwa kunaanzia nje ya uwanja.
Yaani timu inaingia uwanjani ikiwa tayari ina matokeo.
Kinachokwenda kufanyika uwanjani ni kukamilisha tu mchezo kama ulivyopangwa.
Hiyo haimaanishi kwamba wamependelewa kupewa ushindi, bali inamaanisha hawapo tayari kupokea kingine isipokuwa ushindi.
Lakini pia kuna timu ambazo katika hali yake zinakuwa zimeshapata ushindi mkubwa na hivyo kuwa zinasubiri kukamilisha tu michezo.
Kwa timu kukusanya ushindi mwingi na mkubwa mwanzoni, inapata nafasi ya kupumzika na kusubiri kukabidhiwa ushindi.
Ushindi wetu upo kwenye ukaaji wa kwenye mchakato.
Tunapokaa kwenye mchakato kwa ukamilifu na msimamo bila kuyumba, tunakuwa tumejipa ushindi tayari.
Kinachokuwa kinasubiriwa hapo ni muda kukamilika ili mtu kupata kile anachotaka.
Ni muhimu sana tujijengee mtazamo huu wa ushindi kwa sababu wengi sana wamepotezwa kwa kutaka ushindi wa haraka.
Kila inapotokea mtu ana tamaa ya kupata ushindi wa haraka, huwa anaishia kufanya mambo ambayo baadaye yanamsumbua na kuwa kikwazo kwake.
Lakini mtu ukishajua tayari umeshashinda, hutahangaika na njia za mkato za kupata ushindi, njia ambazo zinaishia kukupoteza zaidi.
Hatutafuti ushindi, bali tumeshaupata.
Kilichobaki ni kusubiri kukabidhiwa ushindi kwenye wakati sahihi.
Ukaaji wa kwenye mchakato ndiyo ushindi kamili ambao unatupa ushindi mwingine wote tunaotaka kweye maisha.
Dhihirisha ushindi wako kwa kukaa kwenye mchakato kwa ukamilifu na msimamo bila kuacha.
Na hapo utakuwa umebaki na swala la muda tu wa kukabidhiwa ushindi wako.
#NidhamuUadilifuKujituma
#AfyaUtajiriHekima
#KaziUpendoHuduma
#UpekeeUdadisiUbunifu
#UshirikianoUtegemeanoUwajibikaji
#BilioneaMafunzoni
#NajengaBiashara
#HakunaKingineMuhimu
#LazimaNitoboe
#NawekaKaziNifanikiwe
Tunadhihirisha ushindi kwa kukaa kwenye mchakato kwa ukamilifu na msimamo bila kuacha.
Na hapo tunakuwa tumebaki na suala muda tu, kukabidhiwa ushindi.
LikeLike
Ndiyo.
LikeLike
Dhihirisha ushindi wako kwa kukaa kwenye mchakato kwa ukamilifu na msimamo bila kuacha.
Na hapo utakuwa umebaki na swala la muda tu wa kukabidhiwa ushindi wako.
Asante sana
LikeLike
Kukaa kwenye mchakato ndiyo ushindi
LikeLike
Hakika
LikeLike
Hakika
LikeLike
Hakika ukaaji kwenye mchakato ni uthibitisho kwamba upo kwenye ushindi kamili na kinachongojewa ni wewe kukabidhiwa tu ushindi huo.
LikeLike
Ndiyo.
LikeLike
Ninakaa kwenye mchakato ili kusubiri muda sahihi wa kukabidhiwa ushindi.
LikeLike
Vizuri
LikeLike
Nitaendelea Kukaa kwenye Mchakato.
LikeLike
Kila la kheri.
LikeLike
Ni kweli ushindi unapatika pale tu unapokua kwenye mstari na hnaufuata mchakato wote bila kuacha na bila kutafuta njia ya mkato
LikeLike
Ndiyo
LikeLike
Mchakato daima ili kuwa mshindi.
LikeLike
Ndiyo
LikeLike
Nitaendelea kukaa kwenye mchakato na kwa msimamo, naamini nimezaliwa kushinda na tayari Mimi ni mshindi kwa kuendelea kufuata maelekezo ya kocha wangu.
Asante!!!
LikeLike
Vizuri sana.
LikeLike
Nitaendelea kukaa kwenye mchakato bila kuyumba
LikeLike
Kila la kheri.
LikeLike
Ni kweli kabisa kocha.Kuna siku nyingine zinakuwa ovyo lakini ninapoimaliza siku na kuona nimekaa kwenye mchakato nationa mwenye ushindi mkubwa sana.
LikeLike
Safi sana.
LikeLike
Kukaa kwenye mchakato ndio ushindi wangu. Nitajitahidi sana kuendelea kukaa kwenye mchakato huu.
Asante Kocha
LikeLike
Kila la kheri.
LikeLike
Nitakaa kwenye mchakato ili kuwa mshindi
LikeLike
Vizuri
LikeLike
Mchakato ndiyo ushindi wenyewe nitajitahidi kukaa kwenye mchakato kwa msimamo.
LikeLike
Kila la kheri.
LikeLike
Asante kocha,Nitakaa kwenye mchakato siku zote na kusimamia sheria zote kwa msimamo bila kuyumba.
LikeLike
Kila la kheri.
LikeLike
Sitafuti ushindi, Bali nimeshaupata kwa kukaa kwenye mchakato sahihi . Kilichobaki ni kusubiri kukabidhiwa ushindi hii kwenye wakati sahihi
LikeLike
Ndiyo
LikeLike
Tayari nimeshinda kwa kuendelea kukaa kwenye mchakato mara zote
LikeLike
Hakika
LikeLike
Ushindi wangu ni kukaa kwenye mchakato
LikeLike
Ndiyo
LikeLike
Mchakato ndio mpango mzima katika kupata mafanikio makubwa
Asante sana
LikeLike
Hakika
LikeLike
Ushindi wangu mikononi mwangu
LikeLike
Hakika
LikeLike
Kwa kukaa kwenye mchakato nakuwa tayari nimeshapata ushindi,kinachosubiriwa ni muda ili niweze kukabidhiwa ushindi wenyewe.
LikeLike
Ndiyo.
LikeLike
Nitakaa kwenye mchakato wa kushinda na si kutaka njia ya mkato kupata matokeo ya haraka
LikeLike
Vizuri sana.
LikeLike
Nakaa kwenye mchakato
LikeLike
Kila la kheri.
LikeLike
Ukaaji wa kwenye mchakato ndiyo ushindi kamili.
LikeLike
Hakika
LikeLike
Ninaendelea kujihakikishia ushindi kwa kuendelea kukaa
Kwa msimamo ktk mchakato .
Asante Sana.
LikeLike
Kila la kheri
LikeLike
Mchakato sahihi na endelevu ndio utakuwa ushindo wangu
LikeLike
Vizuri
LikeLike
Sitafuti ushindi Bali nauende Kwa kukaa kwenye mchakato
LikeLike
Vizuri
LikeLike
Kumbe Ukaaji wa kwenye mchakato ndiyo ushindi kamili.
Asante Kocha.
LikeLike
Hakika
LikeLike
Ni kweli kukaa kwenye mchakato wa billion mafunzoni kikamilifu ni ushindi mkubwa
LikeLike
Ndiyo
LikeLike
Ni kweli tunadhihirisha ushindi wetu Kwa kuendelea Kukaa kwenye mchakato mzima wa bilionia mafunzoni kila siku na hapo ni kusubiri Muda Tu kukabidhiwa ushindi wetu
LikeLike
Ndiyo
LikeLike
Ukaaji wa kwenye mchakato ndiyo ushindi kamili ambao unatupa ushindi mwingine wote tunaotaka kweye maisha.
LikeLike
Ndiyo
LikeLike