
Rafiki Yangu,
Ikiwa kila kitu kinategemea uwepo wako, biashara inaweza kuwa imekutengenezea kazi badala ya uhuru.
Unahitaji mifumo ya mauzo, fedha na usimamizi inayorahisisha shughuli zako.
Kupitia AMKA CONSULTANT, pata ushauri wa kibiashara wa kukusaidia kutambua mapungufu, kuboresha mifumo na kuweka msingi wa ukuaji.
Kwa taarifa zaidi anzia hapa
https://wa.link/kv4gfw
Jenga biashara inayokua, hata usipokuwepo kila wakati.
Karibu.
0756694090