Kama hujashindikana, ushindani utakuondoa kabisa kwenye safari ya mafanikio.
Hakikisha unafanya vitu ambavyo wengi hawawezi au hawataki kufanya.
Hapo ndipo kujitofautisha kunapoanzia.
Na ukiweza kuwa tofauti kabisa na wengine, hasa kwenye muda na kazi, hakuna anayeweza kukusumbua.

Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE | +255678977007 | https://bit.ly/makirita