Rafiki Yangu,

Risiti inakuambia umeuza.
Lakini haikuambii biashara yako iko wapi.

Nani amenunua?
Nani anadaiwa?
Nani amelipa?
Mauzo yako yakoje?

Ukibaki na risiti tu, unaweza kuuza kila siku bila kujua kinachoendelea.

Mfanyabiashara mmoja akaanza kutumia mfumo wa Mauzo CRM & Accounting. Akaweka wateja, mauzo, madeni na malipo sehemu moja.

Sasa anaona picha nzima ya biashara yake.

Ni hapa
https://wa.link/289wdg

Usirekodi mauzo tu. Dhibiti biashara yako. Tumia Mauzo CRM & Accounting leo.

Karibu.
0756694090