AMKA MTANZANIA

Chukua Hatua Juu ya Maisha Yako.

AUDIO BOOKS (VITABU VYA KUSIKILIZA)

Pata AUDIO BOOKS(VITABU VYA KUSIKILIZA) kwa ajili ya kujifunza na kujihamasisha.
Vitabu hivi vipo kwenye memory kadi au flash ambazo zina ukubwa wa 16GB. Memory kadi hizi unaweza kuweka kwenye simu na ukapata elimu hii nzuri popote unapokuwa. Pia unaweza kuisikiliza kwenye redio ya gari, redio ya kawaida, dvd player na kifaa chochote ambacho kinaweza kubeba memory au flash.

Unaweza kusikiliza vitabu hivi ukiwa nyumbani, ukiwa kwenye foleni ya kwenda au kurudi kwenye shughuli zako na popote pale ambapo unajikuta huna cha kufanya.

Pia kama wewe ni mvivu wa kusoma vitabu, vitabu hivi vya kusikiliza vitakusaidia sana, utajifunza mengi bila ya kutumia nguvu kubwa.

ORODHA YA VITABU VILIVYOPO KWENYE MEMORY CARD/FLASH.

1. Cashflow quadrant – R. Kiyosaki
2. Rich dad poor dad – R. Kiyosaki
3. Increase your financial IQ – R. Kiyosaki
4. Freedom or security – R. Kiyosaki
5. Retire Young Retire Rich – R. Kiyosaki
6. Brian Tracy – Become an Outstanding Manager
7. Brian Tracy – 21 Success Secrets of Self-Made Millionaires
8. Brian Tracy – Get Paid More and Promoted Faster
9. Brian Tracy – How To Gain 2 Extra Hours a Day 
10. Brian Tracy – 21 Ways to Build a High Profit Business
11. Brian Tracy – 21 Ways To Get Ahead In Your Career
12. Brian Tracy – Make a Million
13. Brian Tracy – The Psychology of Achievement
14. How To Instantly Connect With Anyone
15. Napoleon Hill’s Keys To Success
16. Anthony Robbins – Awaken the Giant Within
17. Brian Tracy – 21 Great Ways To Manage Your Time And   Double Your Productivity
18. Zig Ziglar – How To Be A Winner
19. Zig Ziglar – Success And The Self-Image
20. Earl Nightingale – Lead The Field
21. James Allen – As A Man Thinketh
22. Kerry L. Johnson – Science of Self Discipline
23. David Lieberman – Get Anyone To Do Anything
24. Eric Ries – The Lean Startup
25. Outside Your Comfort Zone – Jeff Lilley
26. 100 Ways To Motivate Yourself Change Your Life Forever – Steve Chandler
27. Anthony Robbins – Lessons in Mastery
28. Brian Tracy – Eat That Frog
29. Carol Dweck – Mindset, The New Psychology of Success
30. Dennis Waitley – Psychology of Winning
31. Earl Nightingale – Great Ideas
32. George S. Clason – The richest Man in Babylon
33. Jim Rohn – Attracting Success
34. Jim Rohn – Lessons in Leadership
35. Kerry L. Johnson – Science of Self Discipline
36. Robert Greene – 48 Laws Of Power
37. Ross Jeffries – Unstoppable Confidence
38. THE DIP, A Little Book That Teaches You When to Quit (and When to Stick)
39. Unlimited Power  The New Science Of Personal Achievement
40. Zig Ziglar – Goals
41. 25 Ways to Win with People – John C Maxwell
42. Becoming a Person of Influence – John C Maxwell
43. Jim Rohn-Designing your life rather than making a living
44. Og Mandino-Secrets to Success
45. Robert Kreigel-If it aint broke–break it!
46. The 21 Indispensable Qualities of a Leader Unabridged – John C Maxwell
47. The Success Journey – John C Maxwell
48. The Winning Attitude – John C Maxwell
49. Tony Robbins-the decision that ensures your success
50. We Are All Weird- The Myth of Mass and the End of Compliance
51. Brian Tracy – Become a Sales Superstar
52. Brian Tracy – Effective Manager Series – Marketing
53. Brian Tracy – Psychology Of Selling
54. Effective and persuasive communication – Steven K. Scott
55. Jim Rohn – Building Your Network Marketing Business
56. Made for Success – Persuasive Selling and Power Negotiation
57. Magnetic Marketing [Tony Robbins, T Harv Eker, Robert Kiyosaki, Bob Proctor]
58. Personal MBA Business Crash Course
59. Robert Kiyosaki – Sales dogs 3 CDs
60. SalesBible
61. The Greatest Salesman in The World – Og Mandino
62. Think and Grow Rich
63. Tom Hopkins & Laura Laaman – The Certifiable Salesperson
64. Unlimited Selling Power by NLP
65. Zig Ziglar – Secrets of Closing the Sale
66. Zig Ziglar – Sell Your Way To The Top
67. Becoming a Person of Influence – John C Maxwell
68. Running With the Giants Unabridged – John C Maxwell
69. Tom Hopkins-Avoiding the 10 biggest sales and marketing mistakes
70. Zig Ziglar – keys to closing
71. Zig Ziglar-Today-the first day of the rest of your life
72. The 7 Habits Of Highly Effective People – Steven Convey
Hapa utajifunza tabia saba za watu wenye ushawishi mkubwa na mafanikio pia. Unataka kufikia mafanikio makubwa? Fanyia kazi tabia hizi saba.
73. Donald Trump – Never Give Up
Katika kitabu hiki bilionea mwekezaji kwenye majengo Donald Trump anatushirikisha mbinu alizotumia yeye kutoka kwenye madeni mpaka kufikia kuwa bilionea kwa kuwekeza kwenye majengo, tena bila hata ya kuanza na fedha zake mwenyewe. Sikiliza kitabu hiki.
74. Anthony Robbins – Time of Your Life
Ningekuw ana muda ningefanya hiki, ningefanya kile na kadhalika. Hizi ni kauli maarufu sana kwa watu wengi. Anthony Robbins anakuambia una muda mwingi kuliko unavyofikiri. Muda huo uko wapi? Pata memory card na usikilize kitabu hiko.
75. Your Right To Be Rich – Napoleon Hill
Unafikiri wewe huna haki ya kuwa tajiri? Unakosea sana, haki yako ipo, sema hujaijua ili uweze kuidai na kuisimamia. Napoleon Hill anakupa haki yako kwenye kitabu hiki.
76. Rich Dad’s Guide to Investing – Robert Kiyosaki
Kama mpaka sasa hujaanza kuwekeza, upo kwenye hatari kubwa. Kama utapita siku ya leo bila ya kujifunza kitu kuhusu uwekezaji na kukifanyia kazi, hakuna kitakachokusaidia wkenye dunia hii. Robert Kiyosaki anakupatia muongozo mzuri sana wa uwekezaji kwenye kitabu hiki, ni wewe kusikiliza tu.
77. Guide to Becoming Rich – Robert Kiyosaki
Robert kiyosaki na hapa tena anaendelea kukupa mbinu nzuri za kuweza kufikia utajiri. Haihitaji uibe au udhulumu, haihitaji uende kwa mganga, bali inahitaji wewe kujua misingi na kuifuata, na utajiri unakuja wenyewe.
78. 177 Mental Toughness Secrets of the World Class – Steve Siebold
Kuna tofauti kubwa sana ya kimawazo kati ya watu waliofanikiwa na ambao hawajafanikiwa. Steve Siebold anakupa siri 177 za watu waliofanikiwa sana ambazo watu wasiofanikiwa hawazijui. Unataka kuzijua? Pata kadi hii na sikiliza hiko kitabu.
79. Lessons from the Richest Man Who Ever Lived – Steven K. Scott
Kitabu hiki kina masomo muhimu sana kuhusu maisha na mafanikio kutoka kwa mtu tajiri sana aliyewahi kuishi na pia mtu mwenye busara sana kuwahi kutokea. Huyu ni mfalme Selemani. Steven Scott amekuchambulia siri muhimu za maisha kutoka kwenye maandiko ya Mfalme Selemani, nakusihi sana, usiache kusikiliza kitabu hiki. Yaani ni tuisheni kamili ya maisha, sio mafanikio na utajiri tu.
80. Neil Cavuto – Your Money Or Your Life
Maisha ni kuchagua na kila unachochagua kila siku kinakupeleka kwenye umasikini au kwenye utajiri. Sikiliza kitabu hiki ufanye maamuzi yatakayokupeleka kwenye utajiri.
81. Anthony Robbins – Power To Influence
Mafanikio yako kwenye kazi, biashara na hata maisha kwa ujumla yatatokana na jinsi unavyoweza kushawishi wale watu ambao ni muhimu kwako. Utamshawishije mteja anunue? Utamshawishije boss akuongeze mshahara? Anthony Robbins anakupa mbinu hizo, utazisikiliza hapa.
82. Anthony Robbins – Personal Training System
Kutengeneza mkakati wa kubadili maisha yako sio kitu rahisi. Anthony anakupa mfumo mzuri utakaoweza kuutumia kujifunza na kubadili maisha yako. Utasikiliza na kujifunza hapa.
83. David Bach-The Automatic Millionaire
David Batch anakupa siri ambazo zitakuwezesha wewe kufikia utajiri hata kama unapata kipato cha kawaida. Anakupa siri ambayo watu wengi wameitumia kufikia utajiri kwa kufuata misingi mizuri na kwa muda mrefu. Kama hutaki misukosuko ya kibiashara, unapenda kuendelea na kazi ya kuajiriwa lakini pia ufikie utajiri basi sikiliza kitabu hiki.

JINSI YA KUPATA MEMORY CARD/FLASH.

Gharama ya memory card au flash yenye vitabu hivyo vilivyosomwa ni tsh laki moja (100,000/=).

Ili kupata vitabu hivyo, weka oda kwa namba 0717396253 au 0755 953 887 kisha utaandaliwa ana kutumiwa kama upo mkoani au kuletewa ulipo kama upo dar.

Usikubali kuendelea kupoteza muda wako, tumia kila muda unaopata kusikiliza vitabu vilivyosomwa na utaweza kupata maarifa zaidi.

Wasiliana sasa kwa namba 0717396253 au 0755 953 887 na weka oda ya kuandaliwa vitabu hivi.

6 thoughts on “AUDIO BOOKS (VITABU VYA KUSIKILIZA)

  1. Aksanteni kqa hisuma yenu nzuri ya kutuelimisha watanzania, nimesoma artical moja ya KILIMO CHA NYANYA, ningepenfa kupata artical ya MAGONJWA YA NYANYA pia. (gmkongwa@gmail.com)

    Like

Comments are closed.

%d bloggers like this: