Kwa wale ambao wangependa kupata AUDIO BOOKS(VITABU VILIVYOSOMWA) kwa ajili ya kujifunza na kujihamasisha leo ndio mwisho wa kuweka oda ya kupatiwa vitabu siku ya kesho jumamosi.

Vitabu hivi vipo kwenye memory kadi ambayo ina ukubwa wa 2GB na ina vitabu 25. Memory kadi hii unaweza kuweka kwenye simu hata ya mchina na ukapata elimu hii nzuri popote unapokuwa. Pia unaweza kuisikiliza kwenye redio ya gari, redio ya kawaida, dvd player na kifaa chochote ambacho kinaweza kubeba memory kadi. Pia memory kadi hii ni orijino na ika waranti ya miaka mitano, haiwezi kuharibika hata ikiingia kwenye maji.

Hivi sasa kuna memory kadi mbili na zote zina vitabu 25 tofauti hivyo jumla ni vitabu 50, kama ukipata zote mbili. Vitabu hivi kama ukivisikiliza naweza kukuahidi vitabadili sana maisha yako. Nina uhakika huo kwa sababu mimi ni mfano unaoishi wa manufaa haya.

audio books4

Memory kadi ya kwanza(MK1) ina vitabu vifuatavyo.

  1. Cashflow quadrant – R. Kiyosaki

     2. Rich dad poor dad – R. Kiyosaki

     3. Increase your financial IQ – R. Kiyosaki

     4. Freedom or security – R. Kiyosaki

     5. Retire Young Retire Rich – R. Kiyosaki

     6. Brian Tracy – Become an Outstanding Manager

     7. Brian Tracy – 21 Success Secrets of Self-Made Millionaires

     8. Brian Tracy – Get Paid More and Promoted Faster

     9. Brian Tracy – How To Gain 2 Extra Hours a Day 

     10. Brian Tracy – 21 Ways to Build a High Profit Business

     11. Brian Tracy – 21 Ways To Get Ahead In Your Career

     12. Brian Tracy – Make a Million

     13. Brian Tracy – The Psychology of Achievement

     14. How To Instantly Connect With Anyone

     15. Napoleon Hill’s Keys To Success

     16. Anthony Robbins – Awaken the Giant Within

     17. Brian Tracy – 21 Great Ways To Manage Your Time And   Double Your Productivity

     18. Zig Ziglar – How To Be A Winner

     19. Zig Ziglar – Success And The Self-Image

     20. Earl Nightingale – Lead The Field

     21. James Allen – As A Man Thinketh

     22. Kerry L. Johnson – Science of Self Discipline

     23. David Lieberman – Get Anyone To Do Anything

     24. Eric Ries – The Lean Startup

     25. Outside Your Comfort Zone – Jeff Lilley

Memory kadi ya pili(MK2) ina vitabu vifuatavyo;

    1. 100 Ways To Motivate Yourself Change Your Life Forever – Steve Chandler

     2. Anthony Robbins – Lessons in Mastery

     3. Brian Tracy – Eat That Frog

     4. Carol Dweck – Mindset, The New Psychology of Success

     5. Dennis Waitley – Psychology of Winning

     6. Earl Nightingale – Great Ideas

     7. George S. Clason – The richest Man in Babylon

     8. Jim Rohn – Attracting Success

     9. Jim Rohn – Lessons in Leadership

     10. Kerry L. Johnson – Science of Self Discipline

     11. Robert Greene – 48 Laws Of Power

     12. Ross Jeffries – Unstoppable Confidence

     13. THE DIP, A Little Book That Teaches You When to Quit (and When to Stick)

     14. Unlimited Power  The New Science Of Personal Achievement

     15. Zig Ziglar – Goals

     16. 25 Ways to Win with People – John C Maxwell

     17. Becoming a Person of Influence – John C Maxwell

     18. Jim Rohn-Designing your life rather than making a living

     19. Og Mandino-Secrets to Success

     20. Robert Kreigel-If it aint broke–break it!

     21. The 21 Indispensable Qualities of a Leader Unabridged – John C Maxwell

     22. The Success Journey – John C Maxwell

     23. The Winning Attitude – John C Maxwell

     24. Tony Robbins-the decision that ensures your success

     25. We Are All Weird- The Myth of Mass and the End of Compliance

Memory kadi moja bei yake ni tsh elfu kumi na tano(15,000/=) kama ukitaka zote mbili inakuwa tsh 30,000/=. Hivyo kama unaitaka kadi hii unaweza kuipata kwa siku ya kesho jumamosi tarehe 07/06/2014 na inabidi utoe taarifa za kuihitaji memory kadi hii kabla ya siku ya leo ijumaa kuisha. Nasema utoe taarifa mapema ili niweze kukuandalia kadi hii.

Wakati unatoa taarifa unatuma na fedha kwa MPESA 0755953887 au TIGO PESA 0717396253 kisha jumamosi utapewa kadi yako.

Kwa wale wa mikoani kadi itatumwa kwa basi siku hiyo ya jumamosi na hivyo unatakiwa kutuma fedha ya kadi na fedha ya nauli kabla ya ijumaa. Kadi moja ni tsh 15,000/= na nauli ni tsh 5,000/= hivyo jumla inakuwa tsh elfu ishirini. Kama utataka kadi mbili jumla itakuwa tsh 35,000/= pamoja na usafiri.

Kumbuka mwisho wa kutoa taarifa ya kupewa memory kadi hii ni leo ijumaa.

Tumia nafasi hii ya kipekee kuboresha maisha yako, kazi zako. biashara zako na hata ufanisi wako. Nafasi hii inakuja mara chache, hivyo jitahidi sana usiikose.

Nakutakia kila la kheri katika safari ya kuboresha maisha yako.

Kumbuka TUKO PAMOJA.