KISIMA CHA MAARIFA ni blogu pacha ya AMKA MTANZANIA ambayo inakupatia mafunzo mbalimbali ya kuboresha maisha yako. Kupitia KISIMA CHA MAARIFA unajifunza mambo mengi sana ambayo yanakuwezesha kufikia mafanikio makubwa kwenye jambo lolote unalofanya.

Kwa sasa ndani ya KISIMA CHA MAARIFA kumekuwa kukipatikiana makala mbili kwa wiki, moja ikiwa ya kujenga tabia za mafanikio kila siku ya jumanne. Kupitia tabia hizi za mafanikio tumeweza kujadili tabia mbalimbali ambazo ni muhimu sana kwako kufikia mafanikio. Tabia kama kutunza muda, kujisomea na sasa tunajadili tabia ya fedha, ni vitu muhimu sana kwako ili kufikia mafanikio makubwa.

Gharama ya kujiunga na KISIMA CHA MAARIFA imekuwa ni tsh elfu kumi na inalipwa mara moja tu. Blog hii ni private hivyo bila ya kuilipia huwezi kuisoma.

Maboresho zaidi ndani ya KISIMA CHA MAARIFA.

Sasa KISIMA CHA MAARIFA kitaboreshwa zaidi na sasa karibu kila siku utakuwa unapata kitu cha kujifunza kwenye KISIMA. Namaanisha KISIMA CHA MAARIFA itakuwa sehemu yako ya kutembelea kila siku ili ujifunze vitu muhimu vya kukufikiasha wewe kwenye mafanikio.

Kutokana na umuhimu wa kujisomea vitabu na pia kutokana na uvivu wa watu wengi kushindwa kusoma vitabu vingi, sasa ndani ya KISIMA tutaanza kujadili baadhi ya vitabu. Utakuwa unapata muhtasari wa vitabu mbalimbali kwa lugha rahisi ya kiswahili na hivyo kujifunza kwa haraka zaidi. Kutakuwa na mambo mazuri sana ndani ya kisima na yote yataanza mwezi wa nane.

Mabadiliko ya gharama za kujiunga.

Kutakuwa na mabadiliko kidogo kwenye gharama za kujiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kwanza ada zote zitakuwa zinalipwa kwa mwaka, hivyo kila baada ya mwaka mmoja utatakiwa kulipa tena ada yako ya mwanachama.

Pili ada ya kujiunga kwanzia mwezi wa nane itakuwa tsh elfu ishirini, na kuanzia tarehe 01/01/2015 itakuwa tsh elfu thelathini.

Mabadiliko haya ya ada hayataathiri wanachama waliopo sasa. Namaanisha wale ambao tayari wameshajiunga na KISIMA CHA MAARIFA wataendelea kuwa wanachama mpaka tarehe 31/12/2015 baada ya hapo watatakiwa kulipa tena ada ya mwaka ya kuwa mwanachama. Hivyo waliojiunga mapema wanapata karibu miaka miwili na kwa gharama kidogo.

Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA na unapendelea kujiunga jiunge sasa kabla mwezi huu wa saba haujaisha. Kuanzia mwezi wa nane ada ya kujiunga itakuwa tsh elfu ishirini, kutoka elfu kumi ya sasa.

Kujiunga tuma fedha tsh elfu kumi kwa mpesa 0755953887 au tigo pesa 0717396253 kisha utume email yako ya gmail na utaunganishwa ili uweze kutembelea KISIMA CHA MAARIFA.

Hii ni nafasi pekee unayoipata ya kuweza kujifunza mambo ambayo yana adhari chanya kwenye maisha yako. Usiiache nafasi hii ipotee.

Kujifunza kila siku ndio hitaji la chini(minimum requirement) ili kuweza kufikia mafanikio. Sasa unaweza kupata hitaji hili kwenye KISIMA CHA MAARIFA.

Nakukaribisha sana kwenye ukombozi huu wa maisha yako.

TUKO PAMOJA.

kitabu-kava-tangazo432