Did you know that opportunities are never lost? That’s because someone will always take the ones you miss!

Je wajua kwamba fursa hazipotei? Hii ni kwa sababu mtu mwingine atachukua fursa uliyoikosa wewe.

Tumia sasa fursa unazoziona mbele yako kabla wengine hawajazichangamkia.

Nakutakia kila la kheri.

TUPO PAMOJA.