Change is the essence of life. Be willing to surrender what you are for what you could become.

Mabadiliko ni sehemu ya maisha. Kuwa tayari kuacha uivyo leo, ili kupokea utakavyokuwa baadae.

Usipingane na mabadiliko, utabaki nyuma.

Nakutakia kila la kheri na wiki yenye mafanikio makubwa.

TUKO PAMOJA.