Leo Ni Siku Ya Mwisho Ya Wewe Kupata Nafasi Ya Kufanya 2016 Kuwa Mwaka Bora Sana Kwako.

Habari za leo rafiki?
Vipi shamra shamra za mwaka mpya 2016? Bado zinaendelea? Je vipi malengo na maazimio yako kwa mwaka huu 2016? Je yana tofauti kubwa na yale ya 2015 ambayo hukuweza kuyakamilisha? Au yale ya 2014 au 2013? Je huoni kwamba mwaka huu 2016 unahitaji kuwa tofauti kidogo ili uweze kufikia malengo hayo mazuri ambayo umekuwa unajiwekea kila mwaka?

 
Nikupe tena hongera za mwaka huu mpya rafiki yangu. Na nichukue nafasi hii kukujulisha ya kwamba leo ndio siku ya mwisho kabisa ya wewe kuweza kujiunga na SEMINA YA 2016 NI MWAKA WANGU WA MAFANIKIO MAKUBWA. Kama ungependa kushiriki semina hii ambapo utajua ni nini hasa unataka kwenye maisha yako na jinsi ya kuweka malengo ambayo lazima utayafikia, basi unahitaji kuchukua hatua leo hii. Ukishindwa kuchukua hatua leo basi umeamua mwenyewe kupoteza tena mwaka huu 2016. Na mimi siwezi kukushikia fimbo kwa sababu maisha ni yako na uchaguzi ni wako mwenyewe.
Ninachoweza kufanya mimi kama rafiki yako ni kukupatia maarifa bora kabisa ambayo kama utayafanyia kazi basi hutabaki kama ulivyo sasa. Ni lazima maisha yako yatakuwa bora zaidi na utayaona mafanikio makubwa. Lakini bado wewe mwenyewe ndio unahitaji kuchukua hatua ya kupokea maarifa hayo na kuyafanyia kazi.
Ili uweze kushiriki semina hii ya siku kumi, itakayoendeshwa kwa njia ya mtandao kwa kutumia email na wasap, lipia ada ya kushiriki semina hii ambayo ni tsh elfu 20 (20,000/=) kwa namba 0755 953 887 au 0717 396 253. Baada ya kutuma ada hiyo bonyeza maandishi haya na jaza fomu kwa kuweka taarifa zako, kwa kufanya hivyo utakuwa umeandikishwa kwenye semina. Kama jina ulilotuma nalo fedha sio uliloandikisha, tafadhali tuma ujumbe wenye jina lako na email yako.
Nikukumbushe tena rafiki yangu, leo ni siku ya mwisho, hivyo kama ungependa kupata mafunzo haya ambayo yatabadili kabisa maisha yako, hakikisha unajiunga leo hii.
Kwa taarifa zaidi kuhusu semina hii ikiwa ni pamoja na mada zitakazofundishwa fungua hapa na usome. Karibu Kwenye Semina; 2016 NI MWAKA WANGU WA UBORA WA HALI YA JUU.
Kujiunga na semina hii ya kipekee tuma ada kwenda 0755 953 887 au 0717 396 253 kisha bonyeza hapa na ujaze fomu.
Kwa wale ambao tayari walishajiunga kwa kujaza taarifa zao ila hawakufanya malipo, tafadhali fanya malipo leo ili upokee mafunzo ya semina hii yatakapoanza.
Nakutakia kila la kheri kwa mwaka 2016, tutaendelea kuwa pamoja na lazima maisha yetu yatazidi kuwa bora zaidi na zaidi.
Rafiki na Kocha wako,
Makirita Amani.
makirita@kisimachamaarifa.co.tz

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

Create a website or blog at WordPress.com

Up ↑

%d bloggers like this: