SIRI NI HII; Kubali Majukumu Yako, Hata Kama Ni Magumu.

Rafiki Yangu,

Vp Hali Yako?

Siri ipo hapo kwenye kukubali majukumu yako.

Nakubaliana na wewe kwamba,

Maisha ni magumu,

Ndiyo.

Maisha ni mateso,

Ndiyo.

Kama siyo wewe unayeteseka,

Basi kuna ndugu yako wa karibu ambaye anateseka kwa magonjwa au hata hali nyingine kimaisha.

Ndiyo.

Kinachotokea kwa wengi, wanapokuwa kwenye hali hizi za mateso huwa wanajaribu kukwepa majukumu yao, kukataa au kutafuta wengine wa kulaumu.

Wewe usiwe hivyo.

Na wala hata husipende kuonewa huruma.

Kwa sababu wewe ni wa kipekee sana.

Wewe endelea kufanya kitu sahihi kwa wakati sahihi,

Haijalishi unajisikia au hujisikii,

Wewe fanya kwa manufaa yako,

Na sio kwa ajili ya kuonekana.

Isikilize nafsi yako.

Kwa kuwa unajua unachotaka basi utakipata.

Kusimama wima na mabega nyuma ina maanisha kukubali changamoto za maisha yako kama zilivyo na kuona hilo ni jukumu lako,

Ina maanisha kukubali hali ya vurugu na kuchukua hatua kuifanya kuwa utulivu,

Ina maana kwamba umechagua kutokumlaumu yeyote kwa kile kinachotokea kwenye maisha yako.

Na ukiweza kufanya  kitu sahihi kwa wakati sahihi basi wewe ni MJASIRIAMALI MJANJA.

Na HABARI NJEMA ni kwamba Kitabu kipya kinachoitwa MJASIRIAMALI MJANJA,

Kipo Tayari.

Kwahiyo unatakiwa uweke ODA YAKO mapema kabla hujakikosa.

Kuweka ODA YAKO,

Tuma Meseji Inayosomeka *MJASIRIAMALI MJANJA* Kwenda 0752977170.

Narudia Tena,

Kuweka ODA YAKO, tuma meseji *MJASIRIAMALI MJANJA* Kwenda 0752977170.

Nakupenda.

Kutoka Kwa Shabiki Yako #1,

Bwana AmiriRamadhani|CopywriterOfSomaVitabuTanzania|