Rafiki Yangu ukweli unauma.
Vita ngumu zaidi,
si kupambana na watu,
ni kupambana na wewe.
Nafsi inajua kukudanganya.
Inakuambia tayari umechoka.
Inakuambia haihitajiki leo.
Inakuambia wengine wanaweza, wewe huwezi.
Ukianza kuishinda,
hata kidogo,
unakua mtu mpya.
Unaanza kushinda bila kelele.
Unakuwa tulivu na makini.
Ushindi wa kweli hauonekani nje…
Unaanzia ndani.
Na kama unataka kujifunza formula yake,
fungua kitabu Cha FALSAFA YA USTOA.
Unakipata hapa 👇
https://wa.link/524kl0Karibu.0756694090.
PS:
Ukishinda Nafsi,
Unafungua Milango Ambayo Nguvu Ya Nje Haiwezi Kuifungua.
Karibu.