
Rafiki Yangu,
Mauzo yako yako wapi?
Wateja wako wako wapi?
Madeni yako yako wapi?
Kama kila taarifa iko sehemu tofauti, ni rahisi kusahau mambo muhimu.
Unaweza kumsahau mteja.
Unaweza kusahau deni.
Unaweza usijue fedha zimeenda wapi.
Huhitaji kukumbuka kila kitu kichwani.
Na mfumo wa Mauzo CRM & Accounting unakusaidia kuweka wateja, mauzo, madeni na fedha sehemu moja.
Anyway, ukitaka kuungana na wafanyabiashara makini, unaweza kuanzia hapa
https://wa.link/289wdg
Acha kuchanganyikiwa. Tumia Mauzo CRM & Accounting leo.
Karibu.
0756694090