Rafiki Yangu,

Biashara yako ina uwezo mkubwa wa kuuza zaidi,

…lakini kuna mianya ambayo hujaigundua?

Wateja wanapotea, wafanyakazi hawafuatilii mauzo ipasavyo, madeni hayadhibitiwi na maamuzi mengi yanakutegemea wewe.

Pole, haupo peke yako na ndiyo maana AMKA CONSULTANT,

Tumekuletea KUZA MAUZO PACKAGE inaunganisha uchunguzi wa biashara, ushauri, mikakati ya mauzo, uboreshaji wa mifumo na maendeleo ya timu.

Badala ya kukisia tatizo, anza kutambua maeneo yanayozuia biashara yako kusonga mbele.

Biashara yako inahitaji zaidi ya juhudi. Inahitaji mkakati unaoeleweka.

Kuwahi siti yako unaweza kuanzia hapa
https://wa.link/w23noh

Karibu.
0756694090.