Zifahamu Faida Pekee Za Uwekezaji Wa Ardhi Na Majengo Ambazo Ni Tofauti Na Uwekezaji Mwingine.

Uwekezaji wa rasilimali ardhi na majengo umekuwa kivutio kikubwa kwa maelfu ya watanzania wa leo tofauti na wakati uliopita. Maelfu ya watanzania na wageni mbalimbali wanaendelea kuboresha maisha yao kupitia uwekezaji wa rasilimali ardhi na majengo ambao kwa kiasi kikubwa umekuwa kivutio kwa wengi kutokana na kuwa na sifa za kipekee katika uboreshaji na uendeshaji... Continue Reading →

Fahamu Hatua Tano (05) Muhimu Za Kuzingatia Kabla Hujaanza Kuwekeza Kwenye Ardhi Na Majengo.

Mwaka huu nimepata fursa ya kukutana na kuwasiliana na wadau mbalimbali ambao kwa kiasi kikubwa wamefanikiwa kupitia uwekezaji huu wa rasilimali ardhi na majengo. Wengi wao ni wabobezi na wazoefu wa miaka mingi kwenye uwekezaji huu barani Ulaya, Afrika na Australia. Yapo mambo kadhaa niliyojifunza kutoka kwao kwa nyakati tofauti niliokutana na kuwasiliana nao kwa... Continue Reading →

Create a website or blog at WordPress.com

Up ↑