Jinsi Ya Kuwa Kiongozi Bora

Mpendwa rafiki yangu, Jamii yoyote ile iliyostarabika lazima iwe  na kiongozi anayewaongoza. Uongozi ni kitu muhimu sana, kuanzia katika familia zetu mpaka ngazi ya taifa. Eneo ambalo hakuna kiongozi huwa linajulikana kwa sababu wanakuwa hawana mwelekeo. Kumbe basi, kiongozi ni muhimu kwa sababu anaonesha mwanga au uelekeo wa kule jamii inapotaka kufika. Jamii au watu... Continue Reading →

Hii Ndiyo Changamoto Kubwa Ya Kuwa Kiongozi, Ambayo Lazima Uijue Na Ujiandae Nayo.

Kila mtu anapaswa kuwa kiongozi kwenye maisha yake. Hii ni kauli ambayo watu wengi wamekuwa hawaielewi kwa sababu mtazamo wao linapokuja swala la uongozi basi ni wale watu ambao wamechaguliwa au kuteuliwa kuongoza watu au kitu fulani.Hivyo wengi wanaposikia kiongozi, moja kwa moja wanafikiria maraisi, mawaziri, wabunge, madiwani, viongozi wa makampuni, viongozi wa dini na... Continue Reading →

UCHAMBUZI WA KITABU; Smart Leaders Smarter Teams (Umuhimu Wa Viongozi Kujenga Timu Imara).

(MUHIMU; Makala hizi za uchambuzi wa vitabu huwa zinapatikana kwa wale waliojiunga kwenye KISIMA CHA MAARIFA. Lakini kutokana na tatizo kubwa la kiuongozi tulilonalo kwenye nchi zetu za Kiafrika, napenda wote tuisome hii na tuchukue hatua. Kupata makala za uchambuzi kila wiki tembelea na jiunge na http://www.kisimachamaarifa.co.tz ) Uongozi ni moja ya sifa muhimu sana ambazo... Continue Reading →

Hatua 6 za Kuwalea Viongozi Watarajiwa (Chipukizi)

Habari na karibu ndugu mpenzi msomaji wa JIONGEZE UFAHAMU. Ni matumaini yetu umekuwa na wiki ya mafanikio sana. Ni dhahiri umekuwa ukipata mlo kamili wa akili siku hadi siku kupitia blogu hii. Ninachopenda kukuhamasisha jitahidi katika kila makala inayowekwa hapa tafuta vitu vichache ambavyo vitafanya tofauti kubwa inayoweza kuonekana waziwazi au inayoweza kupimika katika maisha... Continue Reading →

Hizi Ndizo Sifa Saba Za Kiongozi Bora.

Kila mtu ni kiongozi toka alivyozaliwa, yaani ni kipaji ambacho kila mtu huzaliwa nacho. Kila mtu ana uwezo wa kuwa kiongozi. Kila sehemu katika dunia hii huhitaji kiongozi, labda nikuulize swali, umewahi kuwa kiongozi? Jibu laweza kuwa ndiyo au hapana. Lakini hilo baki nalo kwa sasa. Niseme kwamba kama ukishindwa kuwa kiongozi wa watu wengi,... Continue Reading →

Uongozi Ni Watu, Na Sio Vinginevyo.

Kama nikikuuliza swali ni nani muhimu kati ya kiongozi na mwananchi anayeongozwa? Kwa hali ya kawaida na mazoea tuliyonayo sisi, unaweza kufikiri kiongozi ni bora zaidi ya mwananchi. Lakini huu sio ukweli hata kidogo. Sio ukweli kwa sababu bila ya mwananchi anayeongozwa hakuna kiongozi, kiongozi ni mwakilishi wa wale waliompa nafasi ya kuwawakilisha. Sasa inakuwaje... Continue Reading →

Dalili Kumi Kwamba Tayari Wewe Ni Kiongozi.

Kwenye makala zilizopita tumeona ni muhimu sana kwa kila mmoja wetu kuwa kiongozi. Pamoja na umuhimu huo sio watu wote ni viongozi na sio watu wote wataweza kuwa viongozi. Na hata ambao ni viongozi sio wote ni viongozi bora wanaotoa matokeo mazuri. Pia tumejifunza kwamba kiongozi anaweza kuzaliwa au kutengenezwa. Kutegemea na mazingira na uhitaji... Continue Reading →

Create a website or blog at WordPress.com

Up ↑