Huyu Ndiyo Mtu Pekee Wa Kujenga Misingi Kwa Mtoto Wako

Mpendwa rafiki, Zama zetu zimekuwa zina changamoto kubwa sana ya malezi ya watoto. Wazazi wanakuwa wako bize kweli na kazi na unakuta watoto wengi wanalelewa na wasaidizi. Wale wasaidizi wanakuwa hawana misingi mizuri ya kuwapa watoto hivyo wanajikuta wanawalea watoto kadiri ya tabia na misingi waliyokuwa nayo. Mwalimu wa kwanza katika malezi ya watoto ni... Continue Reading →

Tabia Hizi Ishirini (20) Unazoziishi Kila Siku Ndiyo Zinazokuzuia Usifanikiwe Zaidi. Zijue Na Hatua Za Kuchukua Ili Upate Mafanikio Makubwa.

Rafiki yangu mpendwa, Mafanikio yetu yanawategemea sana watu wengine. Nimekuwa nasema kwenye mafanikio hakuna jeshi la mtu mmoja, kwamba mtu mmoja anajitengenezea mafanikio yake mwenyewe, huo ni uongo. Ili ufanikiwe watu wengine wanahusika sana kukuwezesha wewe kupiga hatua. Kama ni kwenye kazi basi walio juu yako, walio ngazi sawa na wewe na hata walio chini... Continue Reading →

Jinsi Ya Kumfundisha Mtoto Kuvua Samaki.

Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Amka Mtanzania? Ni matumaini yangu kuwa hujambo na unaendelea vizuri. Hongera sana rafiki kwa zawadi ya siku hii ya leo kwani kuamka salama ni ushindi mkubwa katika maisha yako hivyo tumia ushindi huo wa uhai kuacha alama siku hii ya leo kumbuka kuwa maisha ni... Continue Reading →

Create a website or blog at WordPress.com

Up ↑