Siri Tisa (09) Za Kuishi Miaka Mingi Kutoka Kwa Watu Walioishi Miaka Zaidi Ya Mia Moja (100).

Rafiki yangu mpendwa, Ipo kauli kwamba kila mtu anapenda kwenda peponi lakini hakuna anayetaka kufa. Kwa kifupi maisha ni mazuri, yawe magumu au rahisi, watu tunapenda kuishi zaidi na zaidi. Na kitu kinachotusukuma kutunza afya zetu, kufanya mazoezi na kupata matibabu pale tunapougua ni kwa sababu tunataka kuishi zaidi. Tunataka kutoka kwenye utoto, kuwa watu... Continue Reading →

Kula Chakula, Siyo Kingi Sana Na Zaidi Mimea.

Rafiki yangu mpendwa, Mwaka huu 2019 tunaongozwa na maneno matatu makuu ambayo ni AFYA, UTAJIRI NA HEKIMA. Haya ni maneno matatu yanayowakilisha maeneo matatu muhimu sana kwenye maisha yetu. Kwenye makala ya leo, tunakwenda kujifunza eneo la afya, na inapokuja kwenye afya, changamoto kubwa inaanzia kwenye ulaji. Maendeleo ya sayansi na teknolojia yameleta mabadiliko makubwa... Continue Reading →

Mambo matatu yatakayokufanya uishi maisha marefu.

Magonjwa mengi yanayowafanya watu kufa wakiwa na umri mdogo yanatokana na mtindo wa maisha tunaochagua.Magonjwa kama presha ya juu, kisukari na hata kansa yanatokana na mitindo mbalimbali ya maisha.Hapa nakushirikisha mambo matatu unayoweza kuanza kuyafanya leo na ukapunguza nafasi ya wewe kupata magonjwa haya na hivyo kuishi miaka mirefu.1. Kula vizuri.Naposema kula vizuri namaanisha ule... Continue Reading →

Create a website or blog at WordPress.com

Up ↑