USHAURI; Jinsi Ya Kutatua Changamoto Ya Soko Kwenye Kilimo Cha Kibiashara.

Habari za leo rafiki?Karibu kwenye makala yetu ya leo ya USHAURI WA CHANGAMOTO ambapo tunaangalia zile changamoto zinazotuzuia kufikia malengo yetu tuliyojiwekea kwenye maisha. Hakuna njia iliyonyooka, kila kitu kina changamoto zake, na wakati changamoto inakusumbua, siyo rahisi kuona njia mbadala za kupita ili kutoka kwenye changamoto hiyo. Hapa ndipo tunapofanyia kazi kupitia kipengele hiki,... Continue Reading →

Kilimo Cha Nyanya Aina Ya Anna F1

Habari ndugu msomaji wa Amka Mtanzania. Ni matumaini yangu unaendelea vizuri na majukumu yako ya kila siku. Karibu tena kwenye jukwaa hili la makala za kilimo. Wiki hii tutaangazia kilimo cha nyanya aina ya ANNA F1. Kwenye baadhi ya makala zilizopita tuliona kilimo cha nyanya kwa ujumla, lakini wiki hii tutakwenda kauangazia nyanya hii ya... Continue Reading →

KILIMO; Maswali Na Majibu Kuhusu Kilimo Cha Nyanya.

Habari ndugu msomaji wetu wa makala za kilimo. Ni matumaini yetu unaendelea vizuri na majukumu ya kila siku katika kutafuta mafanikio. Tunashukuru kwa ufuatiliaji wa makala za kilimo, siku zinavyozidi kwenda  tunaendelea kupata watu wengi wenye kiu ya kupata maarifa ya kilimo kupitia makala tunazoweka hapa kwenye AMKA MTANZANIA. Kutokana na somo ambalo tumekua tukijifunza... Continue Reading →

KILIMO CHA NYANYA; Utunzaji Wa Shamba, Uvunaji Na Masoko Ya Nyanya.

Habari ndugu mpendwa msomaji wa makala za kilimo katika jukwaa la AMKA MTANZANIA. Ni matumaini yangu unaendelea vizuri na mchakato wakuelekea kwenye mafanikio. Wiki iliyopita tulianza kujifunza kilimo cha nyanya. Leo tutaendelea pale tulikoishia, na tutajikita katika utunzaji wa nyanya zikiwa shambani, wadudu waharibifu pia tutaangalia uvunaji wa nyanya masoko pamoja na bei za nyanya.Kama... Continue Reading →

Haya Ndio Magonjwa Hatari Kwa Kilimo Cha Bustani.

Habari ndugu msomaji wa makala za kilimo kwenye AMKA Mtanzania, karibu tena katika mfululizo wa makala za kilimo. Wiki hii tutaanza kujifunza moja ya mambo ambayo yamekua ni changamoto kubwa wakulima wengi. Wadudu na magonjwa ya mazao. Magonjwa pamoja na wadudu waharibifu wanaweza kuchangia kupata hasara hadi ya asilimia 100. Baada ya kuandaa shamba, kununua... Continue Reading →

Fursa katika Kilimo cha Bustani

Habari msomaji wa makala za kilimo katika jukwaa hili la JIONGEZE UFAHAMU. Wiki hii tutajiongezea ufahamu kuhusu kilimo cha bustani kwa ufupi. Ila kwa wiki zinazokuja tutaingia kwa kina na tutaenda hadi kuchambua kilimo cha baadhi ya mazao, kuanzia uzalishaji hadi soko lake. Karibu kwenye somo: Kilimo cha bustani ni sekta ndogo iliyopo ndani ya... Continue Reading →

Create a website or blog at WordPress.com

Up ↑