I’ve learned that everyone you meet deserves to be greeted with a smile. It makes his or her day, and mine too!

Nimejifunza kwamba kila mtu unayekutana naye anastahili kusalimiwa kwa tabasamu. Inaifanya siku yake na yako kuwa bora zaidi.

Wasalimie unaokutana nao kwa tabasamu na utaona mabadiliko makubwa kwako na kwao pia.

TUPO PAMOJA.