Habari rafiki,

Nina habari njema kwako, nimefanikiwa kuchapa kitabu cha IJUE NJAA YA WANANDOA.

Hivyo basi, nakualika ujipatie nakala yako ya kitabu hiki. Ni kitabu ambacho kinakwenda kutatua njaa zinazowasumbua ndoa nyingi.

Na huu hapa chini ni ushuhuda wa kile alichoandika mwandishi wa dibaji ya kitabu hiki Kocha Dr Makirita Amani.

[4/10, 21:54] Makirita: “Hongera sana Deo kwa kuchapa kitabu hiki.
Kama nilivyoandika kwenye dibaji ya kitabu hiki, ndoa za zama hizi zimekuwa na misukosuko mikubwa siyo kwa sababu ndoa ni ngumu sana, bali kwa kuwa kuna njaa ndani ya ndoa hizo.

Kitu chochote chenye njaa huwa hakina nguvu, kinadhoofu na hata kufa.
Hivyo kwa kuijua njaa ya wanandoa, ni sehemu sahihi ya kuzisaidia ndoa kuvuka changamoto mbalimbali na kuwa imara.

Kila mmoja wetu ajipatie nakala ya kitabu hiki kizuri.”

Usikubali kupitwa na kitabu hiki kizuri, Pata nakala yako leo kwa bei ya ofa ya shilingi elfu 15tu badala ya elfu 20.
Wasiliana nasi kwa namba 0717101505. Utatumiwa kitabu hapo ulipo.
Karibu sana