Kufanikiwa na kushindwa kote kunahitaji kazi.
Kuna vitu ambavyo ni lazima ufanye, au usifanye ndiyo upate matokeo yanayotokea.
Kwa kuwa haya maisha lazima uweke juhudi, basi chagua kuweka juhudi zinazokupa matokeo mazuri na ya mafanikio.
Na kadiri unavyofanikiwa, kazana kuzidisha juhudi badala ya kuzipunguza. Unahitaji juhudi za ziada ili kuweza kwenda mbele zaidi.
Kocha Dr. Makirita Amani | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
