
Rafiki yangu,
Umewahi kujiuliza kwa nini baadhi ya watu huwa watulivu kila wakati?
Hata wakipata matatizo … hawatetereki.
Si bahati.
Wanajua kitu kimoja muhimu sana.
Wanajua hawawezi kudhibiti kila kitu.
Lakini wanaweza kujidhibiti wenyewe.
Hapo ndipo nguvu yao ilipo.
Wanachagua utulivu badala ya hasira.
Busara badala ya papara.
Ndani ya kitabu cha Falsafa Ya Ustoa utajifunza siri hii kwa undani.
Na unakipata hapa 👇
https://wa.me/+255756694090
Utaanza kufikiri tofauti.
Kuishi tofauti.
Na mwisho… kuwa mtu mwenye amani ya kweli.
Karibu.
0756694090