NYEUSI NA NYEUPE; Unafiki Kuhusu Michango Ya Sherehe, Kwa Nini Kila Mtu Anailalamikia Lakini Bado Anatoa.

Habari rafiki yangu?Karibu kwenye safu yetu ya makala za NYEUSI NA NYEUPE zinazokujia kupitia mtandao huu wa AMKA MTANZANIA. Kupitia makala hizi tunalichambua jambo kwa kina ili kujua ukweli na uongo wake uko wapi. Kisha mwishoni tunashauriana namna bora ya kuliendea jambo hilo au maamuzi bora ya kufanya. Leo tunakwenda kuangalia kwa kina kuhusu michango… Continue Reading →

Create a website or blog at WordPress.com

Up ↑