USHAURI; Jinsi Ya Kuondokana Na Hali Ya Kukosa Uthubutu Na Kuingia Kwenye Biashara Itakayokufikisha Kwenye Ubilionea.

Karibu tena rafiki yangu kwenye kipengele chetu hiki cha USHAURI WA CHANGAMOTO zinazotuzuia kufikia malengo makubwa tuliyojiwekea kwenye maisha yetu. Kama ambavyo wote tunajua, changamoto zipo na zitaendelea kuwepo na hivyo tunachohitaji siyo mbinu za kuzikwepa changamoto bali kuweza kuzitatua…