Rafiki Yangu,

Fikiria biashara ambayo haiwezi kusimama kwa sababu tu umeondoka.

Wateja wanaendelea kuhudumiwa.

Mauzo yanaendelea.

Wafanyakazi wanajua cha kufanya.

Na wewe unakuwa mmiliki wa biashara si mfanyakazi wake.

Hii haiji kwa bahati.
Inahitaji MFUMO.
Mfumo wa kuanzisha.

Mfumo wa kukuza.
Mfumo wa kusimamia watu.

Mfumo wa mauzo.
Mfumo wa fedha.

Na mfumo wa kuhakikisha biashara inaendelea kufanya kazi hata bila wewe kuwepo kila dakika.

Na ni kama bahati kwako, kwani hii PACKAGE YA BIASHARA, Imeandaliwa kwaajili yako,
…yaani imeandaliwa kukupa maarifa ya kuanza kujenga biashara yenye mfumo.

Hii hapa
https://wa.link/70v2mf

Usijenge biashara inayokutafuta kila saa.

Jenga biashara inayoweza kukutegemea kidogo na mfumo zaidi.

Pata PACKAGE YA VITABU leo.

Karibu.
0756694090