
Rafiki Yangu,
Kama kila maamuzi yanakuhitaji wewe…
Kila mteja anakutafuta wewe…
Kila tatizo linakusubiri wewe…
Basi hujajenga biashara bado.
Umejenga ajira inayokutegemea wewe.
Biashara yenye nguvu hujengwa kwa mifumo.
Mfumo wa mauzo.
Mfumo wa fedha.
Mfumo wa wafanyakazi.
Mfumo wa huduma kwa wateja.
Mfumo wa uendeshaji.
Lengo si wewe kufanya kila kitu.
Lengo ni kujenga mfumo unaowawezesha wengine kufanya kazi kwa usahihi hata usipokuwepo.
PACKAGE YA BIASHARA inakusaidia kujifunza jinsi ya kuanzisha, kukuza na kujenga mifumo ya biashara yako.
Usijenge biashara inayokufunga. Jenga biashara inayokupa uhuru.
Kama bado hujapata PACKAGE YA BIASHARA.
Unaweza kuipata leo kwa ofa hapa
https://wa.link/70v2mf
Karibu.
0756694090