Rafiki Yangu,

Biashara kuwa busy si ushahidi wa faida.

Unaweza kuuza kila siku, lakini bado usijue pesa imeishia wapi.

Mauzo ni kiasi gani?
Matumizi ni kiasi gani?
Madeni ni kiasi gani?
Na mwisho, umebakiwa na nini?

Ukikosa majibu, unafanya maamuzi kwa kubahatisha.

Kwa mfano mfumo waMauzo CRM & Accounting unakusaidia kufuatilia mauzo, wateja, madeni, mapato na matumizi sehemu moja.

Mfanyabiashara mmoja ameanza kutumia mfumo huu. Sasa anaona namba zake kabla ya kufanya maamuzi.

Anyway, bonyeza hapa kujifunza zaidi
https://wa.link/289wdg

Usiendeshe biashara kwa hisia. Tumia mfumo wa Mauzo CRM & Accounting.

Karibu.
0756694090