
Wateja wako wanakuachia taarifa zao. Jina, namba, manunuzi, ahadi.
Tatizo? Taarifa zikikaa kichwani au kwenye daftari, zinapoteza thamani.
Mteja anaweza kuwa tayari kununua, lakini ukamsahau. Mauzo yanaenda kwa mshindani wako.
Usikusanye taarifa na kuziweka tu. Zitumie kufuatilia wateja.
Na Mfumo Wa Mauzo CRM & Accounting unakusaidia kuweka taarifa zote za biashara yako sehemu moja.
Mfanyabiashara anapoanza kutumia mfumo, anaona nani wa kumfuatilia na lini.
Anza kuutumia leo,
https://wa.link/289wdg
Geuza taarifa kuwa mauzo. Tumia Mfumo Wa Mauzo CRM & Accounting.
Karibu.
0756694090.