Category: TANO ZA JUMA
87 Posts
#TANO ZA JUMA #28 2018; Hekima Ya Maisha Ya Furaha, Sifa Saba Za Kuvutia Mafanikio Kwako, Fedha Na Furaha Na Cha Kufanya Asubuhi, Mchana, Jioni Na Usiku.
#TANO ZA JUMA #27 2018; Uza Au Utauzwa, Sababu 7 Kwa Nini Naandika Kila Siku, Uhuru Wa Kifedha Kwako Una Maana Gani Na Shinda Kweli Au Teseka Kweli.
#TANO ZA JUMA #26 2018; Njia Kumi Za Kuongeza Faida Kwenye Biashara Na Kuibadili Dunia, Njia Tatu Za Kumuuzia Mteja Anayekataa Kununua, Jinsi Ya Kuituliza Fedha Unayopata Na Huogi Mara Moja.
#TANO ZA JUMA #25 2018; Jinsi Ya Kuuza Kitu Chochote Kwa Mtu Yeyote, Fanya Hivi Ili Dunia Ikupe Unachotaka, Sehemu Ya Kuanzia Ili Kukuza Kipato Chako Na Njia Ya Kujua Ukomo Wako.
#TANO ZA JUMA #24 2018; Sheria 22 Za Masoko, Tabia Tano Za Watu Unazopaswa Kuzijua, Umuhimu Wa Mifereji Mingi Ya Kipato Na Kitakachotokea Miaka 20 Ijayo.
#TANO ZA JUMA #23 2018; Siri Za Matajiri, Njia Tano Za Kukuza Biashara Yako, Upo Tayari Kutoa Nini Kafara Na Neno Linalopatikana Kwenye Kamusi Ya Wapumbavu Pekee.
#TANO ZA JUMA #22 2018; Ufalme Ulio Mkuu, Miaka 30 Ya Maisha Yangu Na Mambo 40 Kuelekea Miaka 40, Mahitaji Matatu Muhimu Ya Utajiri Wa Mwanafalsafa Na Kwa Nini 4 Za Kujiuliza Ili Kufanikiwa.
#TANO ZA JUMA #21 2018; Jinsi Ya Kujiuza Vizuri, Maneno Manne Ya Kusema Ili Kufanikiwa, Cha Kufanya Kabla Hujawekeza Fedha Yoyote Na Waachie Wengine Wafanye Hayo.
#TANO ZA JUMA #20 2018; Jinsi Unavyoweza Kumiliki Maisha Yako, Nimeondoka Kwenye Mitandao Yote Ya Kijamii, Hesabu Za Michezo Ya Kamari, Na Hatari Kubwa Kwenye Malengo Unayojiwekea.
#TANO ZA JUMA #19 2018; Sheria 12 Za Maisha, Hatua Ya Kwanza Kuelekea Kwenye Utajiri, Mambo Mawili Muhimu Kuhusu Fedha Na Kitu Kimoja Cha Kukufanya Usizuilike.