NYEUSI NA NYEUPE; Hii Ndiyo Ile Hela Ya Sigara (Jinsi Unavyoweza Kuweka Akiba Kidogo Kidogo Mpaka Kufikia Utajiri).

Habari rafiki? Hongera kwa siku hii nzuri na ya kipekee sana ambapo tumepata nafasi ya kwenda kuweka juhudi zaidi ili tuweze kupata matokeo bora kabisa. Karibu kwenye makala ya leo ya NYEUSI NA NYEUPE ambapo nimekuwa nakuandikia kuhusu ukweli ambao watu tunachagua kutokuuangalia au tunauangalia halafu tunajifanya kama hatujauona. Kwenye makala la leo nakwenda kuzungumzia... Continue Reading →

NYEUSI NA NYEUPE; Hakuna Anayependa Kuchangia Harusi, Lakini Harusi Zinachangiwa Kila Siku (Somo Kubwa La Kujifunza Kuhusu Mafanikio).

Habari za leo rafiki yangu? Kuiona siku nzuri kama hii ya leo ni jambo la kushukuru sana, kwa sababu siyo kila mtu amepata nafasi kama hii ambayo tumeipata mimi na wewe. hivyo tunapaswa kuheshimu sana muda huu wa kipekee, tuutumie vyema kwa mafanikio yetu na ya wale wanaotuzunguka. Leo katika kipengele hichi cha nyeusi na... Continue Reading →

NYEUSI NA NYEUPE; sawa, lakini kwa nini uwe wewe, na kwa nini usiwe wewe? Rafiki yangu,

Najua unapoona NYEUSI NA NYEUPE unajua nini kinaenda kuendelea hapa. Najua unajua kwamba utakwenda kuupata ukweli kama ulivyo, hata kama hupendi kuusikia ukweli. Lakini hakuna namna, lazima tu uusikie, ili sasa uamue kama utaendelea kujidanganya na kubaki hapo ulipo, au utaufanyia kazi ukweli na kuweza kufika mbali zaidi.Tatizo linapoanzia.Waandishi na wahamasishaji wengi wamekuwa wanasisitiza jambo... Continue Reading →

NYEUSI NA NYEUPE; Njia Ya Haraka Ya Kutajirika Na Biashara Isiyo Na ‘Stress’.

Habari rafiki,Karibu kwenye makala yetu ya leo ya NYEUSI NA NYEUPE, ambapo huwa tunauangalia ukweli kama ulivyo, bila ya kuupindisha kama ambavyo wengi wamekuwa wanafanya ili kujinufaisha. Moja ya kitu ambacho kimekuwa kinakimbiwa na wengi ni ukweli, lakini wenyewe huwa haupotei, bali hujitokeza, hasa pale usipotegemewa.  Leo tunakwenda kuangalia maeneo mawili ambayo watu wamekuwa wakidanganywa... Continue Reading →

NYEUSI NA NYEUPE; Kila Mtu Ni Mwandishi Wa Habari, Mchambuzi Na Mshauri, Kwenye Jambo Lolote Lile.

Habari za leo rafiki,Karibu kwenye makala yetu ya NYEUSI NA NYEUPE ambapo tunakwenda kuuangalia ukweli kama ulivyo. Kipaumbele cha kwanza kwa binadamu siyo ukweli, na hii ni kwa sababu ukweli unaumiza, ukweli haubembelezi. Hivyo hapa kwenye nyeusi na nyeupe, nimekuwa nakupa ukweli kama ulivyo, japo unakuumiza lakini sijali hilo, kwa sababu nataka wote tuuangalie ukweli... Continue Reading →

NYEUSI NA NYEUPE; Kwa Nini Habari Hasi Zinavuma Na Kupendwa Sana Na Wengi, Na Jinsi Ya Kujitoa Kwenye Mkumbo Huo.

Habari za jumapili ya leo rafiki yangu?Karibu kwenye makala yetu nyingine ya NYEUSI NA NYEUPE, hapa tunauangalia ukweli wenyewe kama yulivyo, hatufuniki au kuficha chochote. Jembe tunaliita jembe na kijiko tunakiita kijiko, hata kama itakuumiza kwa namna yoyote ile. Kama ambavyo tunajua, kitu pekee kinachoweza kukuweka huru ni kuujua ukweli. Unaweza kuukataa ukweli, unaweza kuukwepa... Continue Reading →

NYEUSI NA NYEUPE; Unafiki Kuhusu Michango Ya Sherehe, Kwa Nini Kila Mtu Anailalamikia Lakini Bado Anatoa.

Habari rafiki yangu?Karibu kwenye safu yetu ya makala za NYEUSI NA NYEUPE zinazokujia kupitia mtandao huu wa AMKA MTANZANIA. Kupitia makala hizi tunalichambua jambo kwa kina ili kujua ukweli na uongo wake uko wapi. Kisha mwishoni tunashauriana namna bora ya kuliendea jambo hilo au maamuzi bora ya kufanya.Leo tunakwenda kuangalia kwa kina kuhusu michango ya... Continue Reading →

Create a website or blog at WordPress.com

Up ↑