Web programming au programming za aina nyingine ni ujuzi ambao unaweza kujifunza bila kuwa na ‘background’ ya sayansi. Kinachotakiwa ni Kupenda (interest) na pia kujituma kukariri na kufanya mazoezi ya kutumia ‘codes’.
Nakualika wewe ambaye una interest ya kujifunza programming, uanze kujifunza HTML kwani ndio programming language mama katika web site development.
  Na ili uive vema katika kuunda website, Somo hili la kwanza litahusu kukupa ufahamu jinsi Website zinavyofanya kazi, jinsi ambavyo utaweza kuanza kutengeneza website yako ya kwanza. Fuatilia kwa umakini maelezo yote, na Jitahidi Ujibu maswali mwisho wa somo bila ‘kugezea’.

KWA KUSOMA KOZI HII INGIA HAPA

JIFUNZE WEBSITE PROGRAMMING; SOMO LA KWANZA

http://mbuke.blogspot.com/2013/07/jifunze-website-programming-somo-la-1.html