No one is perfect… that’s why pencils have erasers.

Hakuna aliye mkamilifu ndio maana penseli zina ufutio.

Anza kuhanganika kuwa mkamilifu, binadamu wote tunakosea hivyo ni vyema kujifunza kutokana na makosa yako.
Nakutakia kila la kheri.
TUPO PAMOJA.