Category: TANO ZA JUMA
87 Posts
#TANO ZA JUMA #2 2019; Tabia, Ufunguo Mkuu Wa Mafanikio, Maneno Matatu Ya 2019, Tengeneza Gereza La Akiba Na Sifa Ya Washindi.
#TANO ZA JUMA #01 2019; Salamu Za Mwaka Mpya 2019, Sayansi Ya Kupata Utajiri, Mambo 19 Ya Kufanikiwa 2019, Mbinu Ya Kuongeza Kipato 2019 Na Kauli Ya Kuanza 2019 Kama 2018 Hukufikia Malengo Uliyojiwekea.
#TANO ZA JUMA #52 2018; Vitabu 45 Vya Tano Za Juma 2018, Makala 5 Zilizosomwa Sana 2018, Mpango Wa Fedha Wa Kuanza Nao 2019 Na Kauli Kuu Ya Kuiishi Mwaka 2019.
#TANO ZA JUMA #50 2018; Tabia 33 Za Wajasiriamali Wenye Mafanikio, Imani 10 Potofu Zinazokuzuia Usiwe Tajiri, Kanuni Kuu Ya Kuelekea Uhuru Wa Kifedha Na Unafanikiwa Kwanza Kabla Ya Kupata Fedha.
#TANO ZA JUMA #49 2018; Jinsi Ya Kuvuta Chochote Unachotaka, Hatua 7 Za Kutengeneza Mtazamo Wa Mafanikio, Jinsi Ya Kuvuta Fedha Ije Kwako Na Kinachotokea Sasa Ni Matokeo.
#TANO ZA JUMA #48 2018; Sanaa Ya Kupata Fedha, Ishinde Tabia Ya Kuahirisha, Kuwashwa Na Pesa Na Siku Inayokuridhisha.
#TANO ZA JUMA #47 2018; Mawazo 151 Ya Kuongeza Mauzo, Tumia Majuto Kufanya Maamuzi Sahihi, Pesa Siyo Makaratasi Na Amini Kwenye Uzuri Wa Ndoto Zako.
#TANO ZA JUMA #46 2018; Sheria Kumi Za Juu Za Mafanikio Kibiashara, Kanuni Ya Mpenyo Wa Mafanikio, Pesa Ipo Kila Mahali Na Imalize Siku Yako Hivi.
#TANO ZA JUMA #45 2018; Barua Kutoka Gerezani Kuhusu Maisha Na Mafanikio, Mteja Muhimu Ambaye Hupaswi Kumpoteza, Fedha Ni Zao La Hamasa Na Ijue Thamani Ya Muda.
#TANO ZA JUMA #44 2018; Matukio Ya SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2018, Mwaka Mpya Wa Mafanikio, Thamani Inayozidi Fedha Na Maisha, Kazi Na Kifo.