Barua Ya Wazi Kwa Wahitimu Wa Elimu Ya Juu Mwaka 2016, Ukweli Ambao Umekuwa Unafichwa Kwa Miaka 20 Iliyopita.

Umefika ule wakati ambapo mwaka wa elimu kwenye elimu ya juu Tanzania unakwisha. Na katika mwisho wa mwaka wa elimu, kuna wanafunzi ambao wanakuwa wamemaliza masomo yao, wamehitimu tayari kwa kwenda kulitumikia taifa. Huu ni wakati wa furaha kubwa kwa wahitimu, ambao wamekuwa kwenye mfumo huu wa elimu kwa kipindi kisichopungua miaka 16, katika kipindi… Continue Reading →

USHAURI; Biashara Ambazo Mwanafunzi Wa Chuo Kikuu Anaweza Kufanya Bila Kuathiri Masomo Yake.

Habari za leo mpenzi msomaji wa AMKA MTANZANIA, karibu tena kwenye kipengele hiki cha ushauri wa changamoto mbalimbali zinazotuzuia kufikia mafanikio. Kwa wiki chache zilizopita kulikuwa na makala ya ushauri kwa wanafunzi wanaoanza chuo kikuu pia tumewahi kuweka makala za ushauri kwa wahitimu wa vyuo vikuu. Leo tutatoa ushauri mwingine kwa wanafunzi wanaoendelea na masomo… Continue Reading →

WAHITIMU; Vumilia Mateso Ya Muda Mfupi Ili Uweze Kupata Furaha Idumuyo.(Mambo Manne Yatakayokusaidia Kufikia Mafanikio Makubwa)

Kwenye maisha hakuna mtu ambaye anapenda kuteseka. Kila mmoja wetu anapenda kuwa na maisha mazuri na yenye furaha. Lakini pamoja na hali hii ya kupenda furaha bado ni wachache sana ambao wanaweza kupata furaha idumuyo, wengi huendelea kuteseka kwenye maisha wakiikimbizi furaha bila ya mafanikio. Leo katika kipengele hiki cha ushauri kwa wahitimu tutajadili umuhimu… Continue Reading →

WAHITIMU; Tumia Mitandao Ya Kijamii Kwa Umakini, Inaweza Kukuzuia Kufikia Mafanikio Makubwa.

Habari za leo ndugu msomaji wa AMKA MTANZANIA, karibu tena kwenye sehemu yetu ya ushauri kwa wahitimu ambapo tunashauriana mambo muhimu kwenye maisha ambayo mhitimu wa elimu au mtu mwingine yeyote anaweza kuyatumia na kufikia mafanikio makubwa kwenye maisha yake. Kama wiki iliyopita tulikuwa pamoja naamini nimeshakutumia vitabu na umeanza kuvisoma. Na kama una uchu… Continue Reading →

Create a website or blog at WordPress.com

Up ↑