USHAURI; Mambo Ya Kuzingatia Pale Unapoanza Biashara Lakini Wateja Hawanunui.

Rafiki yangu mpendwa, Karibu kwenye makala za ushauri wa changamoto zinazotuzuia kufikia mafanikio makubwa ambayo tunataka kufikia kwenye maisha yetu. Jambo moja kuhusu changamoto ni kwamba, huwa hazikomi, hakuna chochote kinachoweza kwenda kama tulivyopanga kwa asilimia 100. Tunapanga yetu na mengine tofauti kabisa yanatokea. Hivyo lazima tujiandae kwa chochote tunachofanya, tukijua mambo yatakwenda tofauti na... Continue Reading →

USHAURI; Jinsi Ya Kusimamia Miradi Ukiwa Bado Umeajiriwa Na Jinsi Ya Kumshawishi Mwenza Wako Kuielewa Ndoto Yako Ya Mafanikio Makubwa.

Habari rafiki? Nianze kwa kukukumbusha kile ambacho nimekuwa nakuambia mara kwa mara, ya kwamba changamoto ni sehemu ya maisha yetu ya kila siku. Na dunia haikosi changamoto za kutupatia mpaka ile siku ambayo tunaondoka hapa duniani. Hivyo kama bado unapumua, jua kitu kimoja, changamoto zipo na zitaendelea kukuandama. Hivyo kukimbia changamoto yoyote unayokutana nayo ni... Continue Reading →

USHAURI; Hatua Za Kuchukua Pale Kila Biashara Unayotaka Kufanya Unaona Imeshafanywa Na Wengine.

Karibu rafiki kwenye makala ya ushauri wa changamoto, sehemu ambayo tunakutana kwa ajili ya kupeana ushauri kwa zile changamoto ambazo zinatuzuia kufanikiwa. Changamoto ni sehemu ya maisha na changamoto ndiyo zinafanya maisha yetu yawe na maana. Bila ya changamoto maisha yanakuwa ya ajabu na yasiyo na msukumo wa kuchukua hatua. Hivyo unapokutana na changamoto furahi... Continue Reading →

USHAURI; Mambo Ya Kuzingatia Unapoanza Biashara Sehemu Yenye Ushindani Na Usimamizi Bora Wa Biashara Kwa Walioajiriwa.

Hongera rafiki yangu kwa siku hii nzuri sana ya leo. Ni nafasi bora kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo bora sana. Hatua ndogo unazochukua leo ndiyo zinatengeneza mafanikio makubwa kwako kwa siku zijazo. Karibu kwenye makala yetu ya leo ya USHAURI WA CHANGAMOTO zinazotuzuia kufanikiwa kwenye maisha yetu. Kupitia makala hizi, wewe... Continue Reading →

USHAURI; Jinsi Ya Kupata Vitabu Vizuri Vya Kusoma, Kwa Lugha Unayoielewa Na Kwa Gharama Nafuu Au Bure Kabisa.

Nimekuwa nasisitiza sana kuhusu usomaji wa vitabu. Nimekuwa nawaambia watu wasome vitabu sana. kwa kifupi natamani TV, redio na hata mitandao yote ingefutwa na watu wapewe vitabu wasome. Nina amini kitabu ni hazina kubwa sana, ambayo mtu akiweza kuitumia hatabaki pale alipo sasa. Nasema haya kwa sababu nimeona manufaa ya usomaji wa vitabu kwenye maisha... Continue Reading →

USHAURI; Jinsi Ya Kuondokana Na Changamoto Za Unafiki, Uongo Na Dhuluma Kwenye Kazi Na Biashara Zako.

Habari za asubuhi ya leo rafiki yangu? Hongera kwa nafasi nzuri ya leo, nafasi ya kipekee kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili tuweze kupata matokeo bora sana. Karibu kwenye makala hizi za ushauri wa changamoto mbalimbali ambazo zinatuzuia kufikia mafanikio makubwa kwenye maisha yetu. Kama ambavyo nimekuwa nakuambia mara zote, changamoto ni sehemu ya safari... Continue Reading →

Create a website or blog at WordPress.com

Up ↑