Fahamu Hatua Tano (05) Muhimu Za Kuzingatia Kabla Hujaanza Kuwekeza Kwenye Ardhi Na Majengo.

Mwaka huu nimepata fursa ya kukutana na kuwasiliana na wadau mbalimbali ambao kwa kiasi kikubwa wamefanikiwa kupitia uwekezaji huu wa rasilimali ardhi na majengo. Wengi wao ni wabobezi na wazoefu wa miaka mingi kwenye uwekezaji huu barani Ulaya, Afrika na Australia. Yapo mambo kadhaa niliyojifunza kutoka kwao kwa nyakati tofauti niliokutana na kuwasiliana nao kwa... Continue Reading →

Zifahamu Hatua Tano Muhimu Za Kuzingatia Kabla Hujaanza Ujenzi Wa Nyumba Yako Mpya.

Napenda kukupa hongera sana wewe rafiki kwa hatua na juhudi mbalimbali unazoendelea kuchukua katika kuboresha maisha yako binafsi na jamii inayokuzunguka.  Ni ukweli kuwa hatua unazopitia katika kufikia malengo yako siyo rahisi kama wengine wanavyo kutazama. Kuna machozi, jasho na damu zilizotiririka kwenye mwili wako na bado ukaendelea mbele na kufika hapo ulipo sasa, hongera... Continue Reading →

Create a website or blog at WordPress.com

Up ↑